Loading...

SERIKALI KUONGEZA MAWASILIANO ENEO LA UWEKEZAJI MKURANGA

Loading...
SERIKALI KUONGEZA MAWASILIANO ENEO LA UWEKEZAJI MKURANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI KUONGEZA MAWASILIANO ENEO LA UWEKEZAJI MKURANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI KUONGEZA MAWASILIANO ENEO LA UWEKEZAJI MKURANGA
link : SERIKALI KUONGEZA MAWASILIANO ENEO LA UWEKEZAJI MKURANGA

soma pia


SERIKALI KUONGEZA MAWASILIANO ENEO LA UWEKEZAJI MKURANGA

NAIBU Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amefanya ziara ya kukagua upatikanaji wa mawasiliano kwenye Wilaya ya Mkuranga iliyopo mkoa wa Pwani na kuahidi wananchi kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaongeza mawasiliano kwenye Wilaya hiyo ambayo ina viwanda vingi vyenye uwekezaji wa aina mbali mbali

Amesema kuwa katika ziara yake amebaini kuwa yapo baadhi ya maeneo ambayo yanahitaji kuongezewa nguvu ili mawasiliano yaweze kufika eneo kubwa zaidi na kupeleka mawasiliano kwenye baadhi ya maeneo ambayo yana ukosefu wa mawasiliano kwenye Wilaya hiyo kwa kuwa mawasiliano ni maendeleo, uchumi na ulinzi na usalama.

Amefafanua kuwa, “kimsingi mawasiliano yapo Mkuranga ila tunatakiwa kuongeza nguvu ili wananchi wapate mawasiliano. Tunahitaji wananchi wa Tanzania wawasiliane,” amesema Nditiye. Ameongeza kuwa minara iliyopo inaweza kuongezwa nguvu, kampuni nyingine zitafunga mawasiliano kwenye minara ya kampuni nyingine zilizopo na kujenga minara kwenye maeneo ambayo hayana mawasiliano kabisa. 

Nditiye amemshukuru Ulega na kuwapongeza wananchi wa Tanzania kwa kuonyesha uhitaji wa mawasiliano na wamegundua mawasiliano ni maendeleo yao, uchumi, ulinzi na usalama. Amesema kuwa karibu asilimia 60 ya eneo la Mkuranga halina mawasiliano na ameyataka makampuni ya simu yaliyojenga minara kwenye Wilaya ya Mkuranga kuongeza nguvu ya mawasiliano kutoka teknolojia ya 2G hadi teknolojia ya 4G. 
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kushoto) akifafanua jambo wakati wa ziara yake ya kukagua upatikanaji wa mawasiliano kwenye vijiji mbali mbali vya Wilaya ya Mkuranga. (wa kwanza kushoto) Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo hilo,Abdallah Ulega.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kushoto pili ) akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega kuhusu ukosefu wa mawasiliano ya uhakika kwenye eneo hilo. Wa kwanza kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote Mhandisi Peter Ulanga.
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta,Nditiye akitoa maelekezo namna minala ya mawasiliano itakavyo jengwa katika ya  Wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani.


Hivyo makala SERIKALI KUONGEZA MAWASILIANO ENEO LA UWEKEZAJI MKURANGA

yaani makala yote SERIKALI KUONGEZA MAWASILIANO ENEO LA UWEKEZAJI MKURANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI KUONGEZA MAWASILIANO ENEO LA UWEKEZAJI MKURANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/serikali-kuongeza-mawasiliano-eneo-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI KUONGEZA MAWASILIANO ENEO LA UWEKEZAJI MKURANGA"

Post a Comment

Loading...