Loading...
title : SHANGWE ZA HAFLA YA TBL KUMKARIBISHA SAMUEL ETO'O JIJINI DAR
link : SHANGWE ZA HAFLA YA TBL KUMKARIBISHA SAMUEL ETO'O JIJINI DAR
SHANGWE ZA HAFLA YA TBL KUMKARIBISHA SAMUEL ETO'O JIJINI DAR
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group na Rais wa kitengo cha Masoko cha ABINBEV kanda ya Afrika Mashariki, Roberto Jarrin (Kushoto) akibadilishana mawazo na Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o ( Katikati) wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na TBL jijini Dar es Salaam, Eto’o alikuja nchini kwa udhamini wa Castle Lager kuzindua mradi wa ujenzi wa uwanja wa 5-A Side utakaojengwa katika maeneo ya Oysterbay jijini Dar es Salaam, Kulia ni Meneja chapa wa bia ya Castle Lager . Pamela Kikuli
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o , akipongezana na Meya wa Kinondoni Benjamini Sitta ,(Kushoto) wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na TBL jijini Dar es Salaam, wa pili kulia ni : Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group na Rais wa kitengo cha Masoko cha ABINBEV kanda ya Afrika Mashariki, Roberto Jarrin, Meneja chapa wa bia ya Castle Lager , Pamela Kikuli ( Kulia) na Meneja Udhamini na Mawasiliano ya wateja wa TBL, David Tarimo (wa pili kushoto).
Hivyo makala SHANGWE ZA HAFLA YA TBL KUMKARIBISHA SAMUEL ETO'O JIJINI DAR
yaani makala yote SHANGWE ZA HAFLA YA TBL KUMKARIBISHA SAMUEL ETO'O JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHANGWE ZA HAFLA YA TBL KUMKARIBISHA SAMUEL ETO'O JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/shangwe-za-hafla-ya-tbl-kumkaribisha.html
0 Response to "SHANGWE ZA HAFLA YA TBL KUMKARIBISHA SAMUEL ETO'O JIJINI DAR"
Post a Comment