Loading...

Ratiba ya Kumuaga mtoto wa Mwalimu Mwakasege

Loading...
Ratiba ya Kumuaga mtoto wa Mwalimu Mwakasege - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ratiba ya Kumuaga mtoto wa Mwalimu Mwakasege, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ratiba ya Kumuaga mtoto wa Mwalimu Mwakasege
link : Ratiba ya Kumuaga mtoto wa Mwalimu Mwakasege

soma pia


Ratiba ya Kumuaga mtoto wa Mwalimu Mwakasege

Ratiba ya Kumuaga mtoto  wa Mwalimu Mwakasege  aliyefariki Alhamisi October 11 :- Mwalimu atawasili Dar leo Jumatatu, Jumanne mwili utaagwa Mbezi Beach Lutheran Church, Jumatano alfajiri ni safari kuelekea Mbeya, na Alhamisi ni mazishi Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya

Mahali ulipo msiba Msiba uko Dar kwa mdogo wake Mwalimu Mwakasege anaitwa Eng. Mwakasingila (Mzee wa kanisa wa KKKT Mbezi Beach)  Jinsi ya kufika msibani Fika hadi  Mbezi Beach Jogoo, unaingia barabara ya Karibu Art Gallery kuelekea TAG Mbezi beach kisha utaona vibao vinavyoelekeza msiba ulipo.  

Ratiba ya Jumatatu Kutakuwa na sara ya pamoja na Mwalimu Mwakasege na familia yeke yote itakayofanyikia hapa msibani itakayoanza saa moja jioni, 7pm itakayoongozwa na Askofu , Mchungaji kiongozi na watumishi wengine  Kuaga  Mwili wa marehemu utaagwa Jumanne 16 Oct kanisani KKKT Mbezi Beach Dar, kuanzia saa nane mchana (2pm)  Baada ya kuaga mwili utapelekwa airport kwa ajili ya maandalizi ya safari.  

Kusafirisha: Mwili utasafirishwa Jumatano 17 Oct kwa ndege  Mazishi:  Yatafanyika alhamisi, Tukuyu, Mbeya 18 Oktoba,2018.  

Muhtasari: Joshua amefariki ghafla baada ya  kudondoka  alhamisi tarehe 11 Oct 2018 akiwa kazini kwake World Bank Dar. Alikimbizwa Aga Khan hospital ila alifariki siku hiyo hiyo.
Mwalimu Mwakasege pichani kulia akiwa na Mtoto wake Joshua ambaye kwa sasa ni Marehemu.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN.


Hivyo makala Ratiba ya Kumuaga mtoto wa Mwalimu Mwakasege

yaani makala yote Ratiba ya Kumuaga mtoto wa Mwalimu Mwakasege Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ratiba ya Kumuaga mtoto wa Mwalimu Mwakasege mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/ratiba-ya-kumuaga-mtoto-wa-mwalimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ratiba ya Kumuaga mtoto wa Mwalimu Mwakasege"

Post a Comment

Loading...