Loading...
title : SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI NA DAGAA KASENDA
link : SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI NA DAGAA KASENDA
SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI NA DAGAA KASENDA
Wakazi wa kata ya Mganza wilayani Chato mkoani Geita wameipongeza Serikali kwa kujenga soko la kimataifa la samaki, dagaa la kasenda limesaidia kuzalisha Ajira mpya kwa baadhi ya wakazi mkoa huo.
Wakizungumza na na Michuzi Blog wamesema wamesema kabla ya kujengwa kwa soko hilo hawakuwa na uhakika kupata kipato kwa siku tofauti na sasa ambapo wameanza kunufaika.
Kupata vibarua vya kupakia na kuchambua dagaa.
Kwa upande wake Diwani wa kata ya mganza Bw.Emanuel Mwita amesema kupitia soko hilo wananchi ambao hawakuwa na kazi maalum sasa wamepata kazi sokoni hapo ambazo zinawaingizia kipato cha kuendesha maisha ya familia zao.
Baadhi ya wananchi wakiwa bize kuwachambua Dagaa wasiofaa na wanaofaa kwa matumizi mbalimbali.
Sehemu ya Magunia ya Dagaa yakiwa yamepangwa vyema ndani ya soko hilo tayari kwa kusafirishwa sehemu mbalimbali kwa matumizi ya binadamu na mifugo.Baadhi ya wananchi wa Kata ya Mganza wilaya ya Chato mkoa wa Geita wakipanga magunia ya dangaa kwenye gari.(picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)
Hivyo makala SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI NA DAGAA KASENDA
yaani makala yote SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI NA DAGAA KASENDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI NA DAGAA KASENDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/soko-la-kimataifa-la-samaki-na-dagaa.html
0 Response to "SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI NA DAGAA KASENDA"
Post a Comment