Loading...

TIC YASEMA KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE JENGO LA TATU KUTAVUTIA WAWEKEZAJI WENGI ZAIDI

Loading...
TIC YASEMA KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE JENGO LA TATU KUTAVUTIA WAWEKEZAJI WENGI ZAIDI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TIC YASEMA KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE JENGO LA TATU KUTAVUTIA WAWEKEZAJI WENGI ZAIDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TIC YASEMA KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE JENGO LA TATU KUTAVUTIA WAWEKEZAJI WENGI ZAIDI
link : TIC YASEMA KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE JENGO LA TATU KUTAVUTIA WAWEKEZAJI WENGI ZAIDI

soma pia


TIC YASEMA KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE JENGO LA TATU KUTAVUTIA WAWEKEZAJI WENGI ZAIDI

Na Grace Semfuko-MAELEZO.

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kinatambua kuwa miezi michache ijayo Serikali kwa kukamilisha ujenzi wa majengo na ufungaji wa mitambo ya kisasa kukidhi mahitaji ya teknolojia ya kimataifa, jengo la tatu (terminal 3) Uwanja wa Kimataifa Julius Nyerere( JNIA) ni ukurasa mpya wa fursa za kuongeza kasi ya uwekezaji hapa nchini.

Mkurugenzi Mkuu wa TIC, Geoffrey Mwambe alitembelea eneo la Ujenzi na kupokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Anga Tanzania ( TAA), Richard Mayongela kwa ziara ya kutambua zaidi mapya ya jengo la tatu ili kumpa nafasi ya kujenga vishawishi kwa wawekezaji kuhusu manufaa ya chombo hicho kinachokamilika wakati tayari tatizo la foleni ya magari toka uwanjani huo kuingia jijini umeisha baada ya barabara la juu kukamilika katika maungo ya barabara za Mandela toka Bandarini na Nyerere itokayo JNIA. 

TIC ni taasisi ya Serikali, imekuwa ikifanya juhudi za kufafanua kwa wawekezaji fursa zilizopo Tanzania kwa lengo la kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje nchi , na hivyo kukamilika kwa ujenzi wa uwanja huo na kuwa chombo chenye kila hitaji la abiria wa anga katika dunia ya sasa, utaongeza idadi ya wawekezaji kwa sababu ya huduma mpya hizo. “Huduma yetu usafiri wa anga inabadilika kabisa” amesema Mkurugenzi Mkuu TAA, Mayongela.

Mayongela amesema kukamilika kwa uwanja huo mpya jengo la tatu kutaondoa kabisa msongamano wa abiria uliopo uwanja wa pili (Terminal 2) uliojengwa miaka 34 iliyopita, ambao kwa wakati huo ulilenga kuhudumia abiria Milioni 1.5 na sasa umezidiwa kwa kuhudumia abiria hadi milioni 2.5 kwa mwaka, kutokana na ongezeko la abiria nahatimaye kusababisha kuzidiwa kwa uwanja huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Bw.Richard Mayongela akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC Bw. Geoffrey Mwambe walipotembelea uwanja wa ndege wa tatu wa Mwalimu Julius Nyerere kukagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo ambao unajengwa na Serikali kwa gharama ya zaidi ya shilingi Bilioni 560 za kitanzania, ujenzi huo ulianza Mwezi Juni 2013 unatarajia kukamilika mwezi mei 2019 (Picha na Grace Semfuko)
Jengo jipya la tatu la Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere linavyoonekana kwa mbele likiwa limelamilika kwa asilimia 82 ya ujenzi wake, jengo hilo linagharimu zaidi ya shilingi bilioni 56 za kitanzania na linatarajia kukamilika ujenzi wake Mei 31 mwaka 2019
Jengo jipya la tatu la uwanja wa mwalimu Julius Nyerere likiwa katika hatua mbalimbali za umaliziaji wa ujenzi wake, Jengo hilo la tatu linatumia zaidi ya shilingi Bilioni 560 za kitanzania na lilianza kujengwa Mwezi juni 2013 na kutarajiwa kumalizika mwezi Mei 2019




Hivyo makala TIC YASEMA KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE JENGO LA TATU KUTAVUTIA WAWEKEZAJI WENGI ZAIDI

yaani makala yote TIC YASEMA KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE JENGO LA TATU KUTAVUTIA WAWEKEZAJI WENGI ZAIDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TIC YASEMA KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE JENGO LA TATU KUTAVUTIA WAWEKEZAJI WENGI ZAIDI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/tic-yasema-kukamilika-kwa-uwanja-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TIC YASEMA KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE JENGO LA TATU KUTAVUTIA WAWEKEZAJI WENGI ZAIDI"

Post a Comment

Loading...