Loading...

TIGO FIESTA SUPA NYOTA YAVUMBUA VIPAJI MKOANI RUKWA

Loading...
TIGO FIESTA SUPA NYOTA YAVUMBUA VIPAJI MKOANI RUKWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TIGO FIESTA SUPA NYOTA YAVUMBUA VIPAJI MKOANI RUKWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TIGO FIESTA SUPA NYOTA YAVUMBUA VIPAJI MKOANI RUKWA
link : TIGO FIESTA SUPA NYOTA YAVUMBUA VIPAJI MKOANI RUKWA

soma pia


TIGO FIESTA SUPA NYOTA YAVUMBUA VIPAJI MKOANI RUKWA

Majaji wa shindano la Fiesta Super Nyota 2018 mkoani Rukwa, wakiongozwa na Jaji Mkuu, Adam Mchomvu (mwenye miwani), wakijitambulisha mbele ya washiriki na wageni mbalimbali waliofika kushuhudia kupatikana wa nyota wapya wa muziki wa kizazi kipya. wengine toka kulia ni Afisa Michezo Manispaa ya Rukwa, Adam Evarist, Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Rukwa, Charles Kiheka na kushoto ni The Baton A ambaye alikuwa mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota mwaka jana.
Washiriki wakiwa kwenye mchujo wa mwisho uliotoa washindi wawili ambao watapanda kwenye jukwaa la Tigo Fiesta kesho uwanja wa Nelson Mandela Sumbawanga na kupata mshindi mmoja.
Moja kati ya washindi wawili wa Tigo Fiesta Supa Nyota mkoani Rukwa, Robby Gitaa akionyesha uwezo wake wa kuimba na kupiga gitaa kwenye shindano la kutafuta vijana wenye vipaji vya muziki mkoani humo leo.
Moja kati ya washindi wawili wa Tigo Fiesta Supa Nyota mkoani Rukwa, Tigani Tozi akionyesha uwezo wake wa staili ya kufokafoka kwenye shindano la kutafuta vijana wenye vipaji vya muziki mkoani humo leo. 


Hivyo makala TIGO FIESTA SUPA NYOTA YAVUMBUA VIPAJI MKOANI RUKWA

yaani makala yote TIGO FIESTA SUPA NYOTA YAVUMBUA VIPAJI MKOANI RUKWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TIGO FIESTA SUPA NYOTA YAVUMBUA VIPAJI MKOANI RUKWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/tigo-fiesta-supa-nyota-yavumbua-vipaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TIGO FIESTA SUPA NYOTA YAVUMBUA VIPAJI MKOANI RUKWA"

Post a Comment

Loading...