Loading...

Ufungaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar

Loading...
Ufungaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ufungaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ufungaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar
link : Ufungaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar

soma pia


Ufungaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiuahirisha Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar uliokuwa ukifanyika katika Majengo ya Baraza hilo Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiuahirisha Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar uliokuwa ukifanyika katika Majengo ya Baraza hilo Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 Waheshimiwa Mawaziri, Manaibu Mawaziri na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotuba ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wakati akiahirisha Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi.
 Baadhi ya Wananchi walifika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani kushuhudia uahirishwaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi uliofanywa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif.
 Haiba ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar uliopo Chukwani unavyoonekana kwa juu ukiwa katika hali ya kupendeza Wajumbe wakiendelea na Vikao vyao vya kawaida.
Wananchi wa Jimbo la Paje wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mh. Jaku Hashim Ayoub nje ya Jengo la Baraza la Wawakilishi baada ya kuahirishwa kwa Mkutano wa Baraza hilo.
Picha na – OMPR – ZNZ.


Hivyo makala Ufungaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar

yaani makala yote Ufungaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ufungaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/ufungaji-wa-mkutano-wa-11-wa-baraza-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ufungaji wa Mkutano wa 11 wa Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar"

Post a Comment

Loading...