Loading...
title : TRA WAWATIA NGUVUNI WAKWEPA KODI BAADA YA KUGUSHI RISITI YA MILIONI I0.
link : TRA WAWATIA NGUVUNI WAKWEPA KODI BAADA YA KUGUSHI RISITI YA MILIONI I0.
TRA WAWATIA NGUVUNI WAKWEPA KODI BAADA YA KUGUSHI RISITI YA MILIONI I0.
Meneja Mkoa wa Kodi Kariakoo Warioba Kanire (wa kwanza kutoka kulia) akiwa na maafisa wa TRA pamoja na watuhumiwa wa kugushi risiti yenye thamani ya milioni I0 wakitoka katika duka la vifaa vya ujenzi TARAMA TRADERS lililopo Kariakoo jijini Dar es Salaam ambapo inadaiwa mnunuzi alipewa risiti feki katika duka hilo.
Picha ya risiti feki yenye thamani ya milioni I0 inayodaiwa mnunuzi Godbless Swai alipewa baada ya kununua vifaa vya ujenzi kutoka TARAMA TRADERS COMPANY.
Meneja Mkoa wa Kodi Kariakoo Warioba Kanire akifanya mahojiano na wauzaji wa vifaa vya ujenzi wa TARAMA TRADERS leo jijini Dar es Salaam baada ya kubaini wamegushi risiti yaenye thamani ya milioni I0.
Meneja Mkoa wa Kodi Kariakoo Warioba Kanire akiwa na dadali George Kimaro (wa kwanza kutoka kulia) ambaye anadaiwa kufanya mpango wa kutengeneza risiti feki.
Meneja Mkoa wa Kodi Kariakoo Warioba Kanire akiwa na mfanyabiashara ambaye amekuwa kifanya biashara ya kuuza vipodozi pasipo kufata kanuni na taratibu.
Meneja Mkoa wa Kodi Kariakoo Warioba Kanire akiwa na mfanyabiashara mkwepa kodi.
Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Kodi Kariakoo imewatia nguvuni watu watatu kwa tuhuma za kugushi risiti za yenye thamani ya milioni I0 ambayo ilipewa mnunuzi baada ya kununua vifaa vya ujenzi kutoka TARAMA TRADERS Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati akiwa katika Operesheni ya kuwakamata wafanyabishara wasitoa risiti, Meneja Mkoa wa Kodi Kariakoo Warioba Kanire, amesema kuwa jana majira ya jioni wakiwa katika operesheni walifanikiwa kumkamata Godbless Swai akiwa na mzigo wa vifaa vya ujenzi, huku akiwa na risiti feki yenye thamani ya milioni I0.
Kanire amesema kuwa Swai baada ya kuhojiwa na maafisa wa TRA alijitambulisha kuwa ni mnunuzi ambaye alinunua bidhaa kutoka TARAMA TRADERS zenye thamani ya milioni I0 na kupewa risiti.
"baada ya kumuhoji mzigo wake tumeishikiria, lakini ametuambia baada ya kununua mzigo bila kupewa risiti aliamua kutafuta risiti nyengine ili aweze kuondoka na mzigo huo" amesema Kanire.
Kanire ameeleza kuwa baada ya kukubali kugushi kwa risiti wakaendelea kufanya uchuguzi ili kubaini mtandao mzina unaofanya shughuli hizo.
Kanire amewataja watuhumiwa wa tukio hilo ni Imani Laurent mmiliki TARAMA TRADERS, Muuzaji Deogratis Kimaro, Dalali George Kimaro pamoja na mnunuzi Godbless Swai ambaye ni shahidi wa TRA.
Hata hiyo Kanire amefafanua watuhumiwa watapigwa faini ya milioni nne pamoja na kufikishwa mahakamani kwa kosa la kugushi nyaraka ambayo ni ritisi.

"Natoa wito kwa wafanyabiashara wote kuhakikisha wanatoa risiti kulingana na manunuzi ya mteja" amesema Kanire.
Hivyo makala TRA WAWATIA NGUVUNI WAKWEPA KODI BAADA YA KUGUSHI RISITI YA MILIONI I0.
yaani makala yote TRA WAWATIA NGUVUNI WAKWEPA KODI BAADA YA KUGUSHI RISITI YA MILIONI I0. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TRA WAWATIA NGUVUNI WAKWEPA KODI BAADA YA KUGUSHI RISITI YA MILIONI I0. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/tra-wawatia-nguvuni-wakwepa-kodi-baada.html
0 Response to "TRA WAWATIA NGUVUNI WAKWEPA KODI BAADA YA KUGUSHI RISITI YA MILIONI I0."
Post a Comment