Loading...
title : UTIAJI SAINI MKATABA WA MGAWANYO WA UZALISHAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA (PSA) ZANZIBAR
link : UTIAJI SAINI MKATABA WA MGAWANYO WA UZALISHAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA (PSA) ZANZIBAR
UTIAJI SAINI MKATABA WA MGAWANYO WA UZALISHAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA (PSA) ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh Saud bin Saqr Al Qasimi wakati alipofanya ziara ya kuitembela Zanzibar mara alipofika katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar kushuhudia utiaji wa saini mkataba wa mgawanyo wa uzalishaji wa mafuta na Gesi asilia(PSA) baina ya Serikali ya Mapinduzi na Rakgas
Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Rakgas L.L.C ya Ras Al Khaimah Bw.Kamal Mohamed Ataya(kulia) Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Makazi Mhe.Salama Aboud Talib (katikati) Mkurugenzi Katika Kampuni ya Maendeleo ya Mafuta Zanzibar (ZPDC)Nd,Mwanamkaa Abdulrahman Mohamed wakitia saini mkataba wa mgawanyo wa uzalishaji wa mafuta na Gesi asilia(PSA) baina ya Serikali ya Mapinduzi na Rakgas sherehe iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na IKULU
Hivyo makala UTIAJI SAINI MKATABA WA MGAWANYO WA UZALISHAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA (PSA) ZANZIBAR
yaani makala yote UTIAJI SAINI MKATABA WA MGAWANYO WA UZALISHAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA (PSA) ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UTIAJI SAINI MKATABA WA MGAWANYO WA UZALISHAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA (PSA) ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/utiaji-saini-mkataba-wa-mgawanyo-wa.html
0 Response to "UTIAJI SAINI MKATABA WA MGAWANYO WA UZALISHAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA (PSA) ZANZIBAR"
Post a Comment