Loading...
title : VODACOM YAWAKUMBUKA WATEJA WAKE WA SIKU YA KWANZA INAANZISHWA
link : VODACOM YAWAKUMBUKA WATEJA WAKE WA SIKU YA KWANZA INAANZISHWA
VODACOM YAWAKUMBUKA WATEJA WAKE WA SIKU YA KWANZA INAANZISHWA
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ndugu Hisham Hendi (kulia) akimuhudumia mmoja wa wateja aliyefika kupata huduma kituo cha Makao Makuu ya Ofisi za Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Harieth Lwakatale (kulia) akiwakabidhi zawadi baadhi ya wateja wa mtandao huo walio jiunga siku ya kwanza na yapili mtandao huo ulipoanzishwa nchini Tanzania. Wateja hao wa kwanza walipata fursa ya kutembelea na kujifunza shughuli za Vodacom Tanzania ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Harieth Lwakatale (kulia) akimkabidhi zawadi mmoja wa wateja wa mtandao huo walio siku ya kwanza na yapili mtandao huo ulipoanzishwa nchini Tanzania. Wateja hao wa kwanza walipata fursa ya kutembelea na kujifunza shughuli za Vodacom Tanzania ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Hivyo makala VODACOM YAWAKUMBUKA WATEJA WAKE WA SIKU YA KWANZA INAANZISHWA
yaani makala yote VODACOM YAWAKUMBUKA WATEJA WAKE WA SIKU YA KWANZA INAANZISHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM YAWAKUMBUKA WATEJA WAKE WA SIKU YA KWANZA INAANZISHWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/vodacom-yawakumbuka-wateja-wake-wa-siku.html
0 Response to "VODACOM YAWAKUMBUKA WATEJA WAKE WA SIKU YA KWANZA INAANZISHWA"
Post a Comment