Loading...

Waamuzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Wanolewa Kwa Ajili ya Msimu Mpya wa Ligi 2018/2019.

Loading...
Waamuzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Wanolewa Kwa Ajili ya Msimu Mpya wa Ligi 2018/2019. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waamuzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Wanolewa Kwa Ajili ya Msimu Mpya wa Ligi 2018/2019., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waamuzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Wanolewa Kwa Ajili ya Msimu Mpya wa Ligi 2018/2019.
link : Waamuzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Wanolewa Kwa Ajili ya Msimu Mpya wa Ligi 2018/2019.

soma pia


Waamuzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Wanolewa Kwa Ajili ya Msimu Mpya wa Ligi 2018/2019.

Jumla ya waamuzi 40 wanatarajia kushiriki kwenye kozi ya utimamu wa mwili (COPA TEST) inayotarajia kufanyika kesho Ijumaa kwa jiili ya mandalizi ya Ligi kuu ya Zanzibar na ligi nyengine zinazondaliwa na ZFA Taifa.

Akizugumza na KIPINDI HICHI Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi Zanzibar Muhsin Ali Kamara amesema zoezi hilo limepelekwa mbele baada ya matatizo ya kiwanja cha Amani.

Amesema mafunzo haya yameanza na  vipimo vya Afya kwa waamuzi wote leo siku ya Alhamisi kabla ya kwenda uwanjani kwa siku ya ijumaa kwa jiili ya mafunzo yenyewe, aidha amesema mafunzo hayo yataendana na semina maalum kwaajili ya mabadiliko ya sheria za mpira wa miguu kwa muda wa siku mbili .


Hivyo makala Waamuzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Wanolewa Kwa Ajili ya Msimu Mpya wa Ligi 2018/2019.

yaani makala yote Waamuzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Wanolewa Kwa Ajili ya Msimu Mpya wa Ligi 2018/2019. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waamuzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Wanolewa Kwa Ajili ya Msimu Mpya wa Ligi 2018/2019. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/waamuzi-wa-ligi-kuu-ya-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waamuzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Wanolewa Kwa Ajili ya Msimu Mpya wa Ligi 2018/2019."

Post a Comment

Loading...