Loading...

WATALII WALAZAMIKA KUONGEZA SIKU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KUSHUHUDIA TUKIO LA KUHAMA KWA MAKUNDI YA NYUMBU WAKITOKEA KENYA.

Loading...
WATALII WALAZAMIKA KUONGEZA SIKU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KUSHUHUDIA TUKIO LA KUHAMA KWA MAKUNDI YA NYUMBU WAKITOKEA KENYA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATALII WALAZAMIKA KUONGEZA SIKU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KUSHUHUDIA TUKIO LA KUHAMA KWA MAKUNDI YA NYUMBU WAKITOKEA KENYA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATALII WALAZAMIKA KUONGEZA SIKU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KUSHUHUDIA TUKIO LA KUHAMA KWA MAKUNDI YA NYUMBU WAKITOKEA KENYA.
link : WATALII WALAZAMIKA KUONGEZA SIKU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KUSHUHUDIA TUKIO LA KUHAMA KWA MAKUNDI YA NYUMBU WAKITOKEA KENYA.

soma pia


WATALII WALAZAMIKA KUONGEZA SIKU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KUSHUHUDIA TUKIO LA KUHAMA KWA MAKUNDI YA NYUMBU WAKITOKEA KENYA.


Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini .

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti iliyopo Mkoani Mara,imeendelea kuwa maarufu Duniani na kuvutia watalii wengi zaidi kutoka maeneo mbalimbali ya Dunia kwa ajili ya kujionea tukio la kila mwaka la kuhama kwa Makundi makubwa ya Nyumbu kutoka Hifadhi ya Masai Mara nchini Kenya na kuingia Serengeti.

Tukio hili ambalo hutokea kuanzia mwezi Julai na wageni kulipa jina la “Great Wildebeest Migration” mwaka huu linatajwa kuvutia watalii wengi zaidi huku wengine wakilazimika kuongeza siku za kukaa katika Hifadhi ya Serengeti wakingojea kushuhudia tukio hilo.Michuzi blog imeshuhudia Msururu wa Magari ya kubeba watalii yakiwa na wageni kando ya Mto Mara kusubiri kujionea hali inavyokuwa wakati wanyama hao wakivuka kwa makundi kutoka upande mmoja wa mo kuingia Hifadhi ya Serengeti.

Eneo la Mto Mara ambapo Wanyama hawa wamekuwa wakivuka linatajwa kuwa na Vivuko 10 hali inayochangia waongoza watalii kufuata mwenendo wa Nyumbu kwa sababu si rahisi kufahamu wapi wataelekea kuvuka jambo ambalo hutumia zaidi ya saa 5 hadi 7 kungojea tukio hilo.Tukio la misafara ya makundi ya wanyama hao kuhama na kurudi hubadilika kila mwaka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na kiwango cha maji katika mto mara hata hivyo limeendelea kuwa kivutio kikubwa kwa wageni .

Kivutio kikubwa katika misafara ya wanyama hao ambao wamekuwa wakiondoka nchini kila mwaka kuanzia mwezi mey na kurudi kuanzia mwezi julay ni namna wanavyovuka mto mara na jinsi wanavyokabiliana na wanyama wengine ndani ya mto huo wakiwemo Mamba.

Watalii wakiwa kando ya Mto Mara katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ,eneo la Kogatende wakishuhudia tukio kubwa la kuhama kwa Makundi Makubwa ya Nyumbu wakivuka mto kutoka Hifadhi ya Masai Mara nchini Kenya kuingia Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Kundi la Nyumbu likijiandaa kuvuka Mto Mara katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Nyumbu wakivuka Mto Mara kuingia katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti .

Magari yaliyobeba Watalii yakiwa yameegeshwa kando ya Mto Mara kusubiri tukio la kuvuka kwa Makundi ya Nyumbu katika Mto Mara kuingia Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Mamba wakiwa Mto Mara katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti wakiwa katika mawindo ya Mnyama Nyumbu wakati akivuka.

Mnyama Pundamlia wakiwa upande wa pili mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ,tunaweza sema ni kama wako hapo kwa ajili ya mapokezi ya Nyumbu wanarudi kutoka katika Hifadhi ya Masai Mara nchini Kenya.



Hivyo makala WATALII WALAZAMIKA KUONGEZA SIKU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KUSHUHUDIA TUKIO LA KUHAMA KWA MAKUNDI YA NYUMBU WAKITOKEA KENYA.

yaani makala yote WATALII WALAZAMIKA KUONGEZA SIKU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KUSHUHUDIA TUKIO LA KUHAMA KWA MAKUNDI YA NYUMBU WAKITOKEA KENYA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATALII WALAZAMIKA KUONGEZA SIKU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KUSHUHUDIA TUKIO LA KUHAMA KWA MAKUNDI YA NYUMBU WAKITOKEA KENYA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/watalii-walazamika-kuongeza-siku-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATALII WALAZAMIKA KUONGEZA SIKU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KUSHUHUDIA TUKIO LA KUHAMA KWA MAKUNDI YA NYUMBU WAKITOKEA KENYA."

Post a Comment

Loading...