Loading...
title : WATOTO WA KIUME WAHAMASISHWA KUWALINDA WATOTO WA KIKE
link : WATOTO WA KIUME WAHAMASISHWA KUWALINDA WATOTO WA KIKE
WATOTO WA KIUME WAHAMASISHWA KUWALINDA WATOTO WA KIKE
Malikia wa Nguvu 2018,Bahati Mandoa akizungumza na wanfunzi wa shule ya sekondari Makumbusho juu ya watoto wa kiume wahamasishwa kuwalinda watoto wa kike ili kufikia malengo yao wakati wa taasisi ya Taesafo ilipokwenda shuleni hapo katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike Duniani leo jijini Dar es Salaam.(picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)
Viongizo wa taasisi ya Faeso wakimkabidhi Mwalimu wa Taaluma wa shule hiyo,Augustino Joseph(kulia)vifaa mbalimbali kwaajili ya wanafunzu wa kidato cha nne leo katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike Duniani..(picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)Hivyo makala WATOTO WA KIUME WAHAMASISHWA KUWALINDA WATOTO WA KIKE
yaani makala yote WATOTO WA KIUME WAHAMASISHWA KUWALINDA WATOTO WA KIKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATOTO WA KIUME WAHAMASISHWA KUWALINDA WATOTO WA KIKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/watoto-wa-kiume-wahamasishwa-kuwalinda.html
0 Response to "WATOTO WA KIUME WAHAMASISHWA KUWALINDA WATOTO WA KIKE"
Post a Comment