Loading...

WAZIRI JAFO AMUONYA MTENDAJI MKUU WAKALA MABASI YAENDAYO KASI DAR , AMTAKA ATOE MAELEZO

Loading...
WAZIRI JAFO AMUONYA MTENDAJI MKUU WAKALA MABASI YAENDAYO KASI DAR , AMTAKA ATOE MAELEZO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JAFO AMUONYA MTENDAJI MKUU WAKALA MABASI YAENDAYO KASI DAR , AMTAKA ATOE MAELEZO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JAFO AMUONYA MTENDAJI MKUU WAKALA MABASI YAENDAYO KASI DAR , AMTAKA ATOE MAELEZO
link : WAZIRI JAFO AMUONYA MTENDAJI MKUU WAKALA MABASI YAENDAYO KASI DAR , AMTAKA ATOE MAELEZO

soma pia


WAZIRI JAFO AMUONYA MTENDAJI MKUU WAKALA MABASI YAENDAYO KASI DAR , AMTAKA ATOE MAELEZO

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam(DART) Mhandisi Ronald Lwakatare amepewa onyo kwa kile kinachoelezwa kushindwa kutekeleza majukumu yake.

Onyo hilo limetolewa leo na Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Suleiman Jafo ambapo pia amemtaka Mhandisi Lwakatare kujieleza kwanini ameshidwa kumsimamia mtoa huduma Udart.

Waziri Jafo mbali ya kutoa onyo hilo ametoa maagizo kwa Naibu Waziri wake Joseph Kakunda kufanya kikao ambacho kitamjumuisha Mtendaji mkuu wa Dart pamoja na mtoa huduma Udart ili kubaini changamoto zilizopo ambazo zinasababisha usafiri huo kuonekana kero kwa wananchi.

Amefafanua usafiri wa mabasi ya mwendo kasi ni usafiri uliokuwa wa nema kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao wengi wao walikuwa wanatumia zaidi ya saa tatu kutoka Posta hadi Kimara.

"Leo hii kupitia usafiri huu wanatumia takribani dakika 40 hadi 45, hivyo hatuwezi kuacha huduma ziendele kudorola kwa kiasi hichi.Lazima ufumbuzi upatikane ili wananchi wafurahie huduma za usafiri huo,"amesisitiza Jafo.

Wakati huo huo Waziri Jafo amemtaka Katibu Mkuu wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Mhandisi Mussa Iyombe kufanya uchunguzi katika ofisi ya Dart ili kuona kama wapo watendaji ambao wanakwamisha huduma hiyo.


Hivyo makala WAZIRI JAFO AMUONYA MTENDAJI MKUU WAKALA MABASI YAENDAYO KASI DAR , AMTAKA ATOE MAELEZO

yaani makala yote WAZIRI JAFO AMUONYA MTENDAJI MKUU WAKALA MABASI YAENDAYO KASI DAR , AMTAKA ATOE MAELEZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JAFO AMUONYA MTENDAJI MKUU WAKALA MABASI YAENDAYO KASI DAR , AMTAKA ATOE MAELEZO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/waziri-jafo-amuonya-mtendaji-mkuu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI JAFO AMUONYA MTENDAJI MKUU WAKALA MABASI YAENDAYO KASI DAR , AMTAKA ATOE MAELEZO"

Post a Comment

Loading...