Loading...
title : WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI DODOMA
link : WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI DODOMA
WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI DODOMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kibakwe wilayani Mpwampwa, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Binilith Mahenge, akizungumza na wananchi wa Kibakwe wilayani Mpwampwa, kwenye ziara ya Waziri Mkuu mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018.
Mke wa Waziri Mkuu Marry Majaliwa, akiwasalimia wananchi wa Kata ya Kibakwe wilayani Mpwampwa mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa kituo cha afya Kibakwe Wilayani Mpwapwa, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018, kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dk. Said Ali Mauji.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa George Lubeleje, baada ya kukagua ujenzi wa kituo cha afya Kibakwe Wilayani Mpwapwa, akiwa kwenye ziara ya mkoa Dodoma, Oktoba 10, 2018.
Wananchi wa Kata ya Kibakwe wilayani Mpwampwa wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia wananchi hao, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI DODOMA
yaani makala yote WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/waziri-mkuu-afanya-ziara-mkoani-dodoma.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI DODOMA"
Post a Comment