Loading...

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi Vya Wakulima - MVIWATA

Loading...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi Vya Wakulima - MVIWATA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi Vya Wakulima - MVIWATA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi Vya Wakulima - MVIWATA
link : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi Vya Wakulima - MVIWATA

soma pia

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi Vya Wakulima - MVIWATA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mlezi wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) na Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Stephen Mashishanga wakati alipowasili kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kumwakilisha Rais, John Pombe magufuli katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya MVIWATA, Oktoba 3, 2018.  Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephen Kebwe.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu unga na bidhaa mbalimbali zinaotokana na zao la soya kutoka kwa Julie Bwire wa Mvomero (kushoto) kabla ya kuhutubia katika Maadhimisho ya miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa mkulima wa uyoga, Maria Shindika wa Mvomero (kulia) kabla ya kuhutubia katika  Maadhidhimisho ya Miaka 25 ya  Mtandao wa Vikundi vya Wakulima (MVIWATA) yaliyofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
Baadhi ya washiriki wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima (MVIWATA) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye  uwanja wa Jamhuri  mjini Morogoro
Baadhi ya washiriki wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima (MVIWATA) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye  uwanja wa Jamhuri  mjini Morogoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uswiss nchini, Florence Tinguely Mattli katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi vya Wakulima (MVIWATA) kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro, Octoba 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi Vya Wakulima - MVIWATA

yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi Vya Wakulima - MVIWATA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi Vya Wakulima - MVIWATA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ahutubia Katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi Vya Wakulima - MVIWATA"

Post a Comment

Loading...