Loading...

WAZIRI MWINY AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA SUMA JKT

Loading...
WAZIRI MWINY AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA SUMA JKT - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MWINY AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA SUMA JKT, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MWINY AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA SUMA JKT
link : WAZIRI MWINY AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA SUMA JKT

soma pia


WAZIRI MWINY AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA SUMA JKT

Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akisalimiana na mmoja wa askari wa JKT alipofanya ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya SUMAJKT,ambapo leo Oktoba 04,2018 ametembelea miradi ya SUMAJKT iliyopo kwenye Kikosi cha Ruvu JKT mkoani Pwani. Miongoni mwa miradi aliyotembelea ni pamoja na ufugaji na utotoreshaji wa vifaranga vya kuku na samaki aina ya kambale na kiwanda cha ushonaji nguo cha Ruvu.
Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akitazama sehemu ya ufugaji samaki aina ya kambale
Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akipewa maelezo mafupi na mmoja wa askari wa JKT  kuhusu ufugaji wa samaki aina ya Kambale,Waziri Mwinyi ameendelea kufaya ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya SUMAJKT,ambapo leo Oktoba 04,2018 ametembelea miradi ya SUMAJKT iliyopo kwenye Kikosi cha Ruvu JKT mkoani Pwani. Miongoni mwa miradi aliyotembelea ni pamoja na ufugaji na utotoreshaji wa vifaranga vya kuku na samaki aina ya kambale na kiwanda cha ushonaji nguo cha Ruvu.


Hivyo makala WAZIRI MWINY AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA SUMA JKT

yaani makala yote WAZIRI MWINY AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA SUMA JKT Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWINY AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA SUMA JKT mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/waziri-mwiny-aendelea-na-ziara-yake-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MWINY AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA SUMA JKT"

Post a Comment

Loading...