Loading...
title : TCRA SACCOS WAFANYA MKUTANO WAO WA SITA
link : TCRA SACCOS WAFANYA MKUTANO WAO WA SITA
TCRA SACCOS WAFANYA MKUTANO WAO WA SITA
Mwakilishi Mrajisi wa Msaidizi wa Vyama vya Ushirika na Afisa Ushirika Wilaya ya Ubungo, Omary Mkamba akifungua Mkutano Mkuu wa Sita wa TCRA SACCOS LTD uliofanyika leo katika ukumbi wa Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya mawasiliano nchini(TCRA) Dk. Raynold Mfungahewa akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa TCRA SACCOS LTD kuhusiana na uanzishwaji wa TCRA SACCOS LTD na mchango wa mamlaka hiyo katika uanzishwaji huokwenye mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa TCRA SCACCOS LTD Erasto Mbilinyi akitaoa taarifa fupi kwa wajumbe na mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Sita TCRA SCACCOS LTD uliofanyika leo katika ukumbi wa Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa TCRA SACCOS Beatrice Lema akitoa maelezo ya dhamira ya kuanizishwa kwa TCRA SACCS LTD kwa ajili ya kuinua vipato vya watumishi katika mkutano mkuu wa sita wa SACCOS hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa mamlaka ya TCRA jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanachama wa TCRA SACCOS wakifatilia mada mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa Sita wa SACCOS hiyo uliofanyika katika ukumbi wa TCRA leo jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja ya pamoja wanachama , wajumbe wa bodi pamoja na wageni kutoka SACCOS mbalimbali walioshirika Mkutano Mkuu wa Sita uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala TCRA SACCOS WAFANYA MKUTANO WAO WA SITA
yaani makala yote TCRA SACCOS WAFANYA MKUTANO WAO WA SITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TCRA SACCOS WAFANYA MKUTANO WAO WA SITA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/tcra-saccos-wafanya-mkutano-wao-wa-sita.html
0 Response to "TCRA SACCOS WAFANYA MKUTANO WAO WA SITA"
Post a Comment