Loading...

Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar

Loading...
Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar
link : Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar

soma pia


Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar

 Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akipatiwa maelezo na Injinia wa ujenzi wa kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Mohammed Nahoda Mohammed katika ziara ya kutembelea kituo hicho kilichupo Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  Mkurugenzi wa Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar Dkt. Mayssa Salum Ali akimuelezea Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed katikati juu ya mafundi wanavyoendelea na ujenzi, kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Khamis Rashid Mohammed.

Mafundi wakiendelea na ujenzi wa Kituo cha  Taasisi ya Mambo ya Afya  Zanzibar.

Eneo la mipaka ya Kituo cha  Taasisi ya Mambo ya Afya  Zanzibar likionekanwa tayari limezungushiwa Nguzo kwaajili ya kulihami na Uvamizi wa Wananchi.
Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar.


Hivyo makala Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar

yaani makala yote Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/waziri-wa-afya-akagua-maendeleo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri wa Afya akagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Taasisi ya Mambo ya Afya Zanzibar"

Post a Comment

Loading...