Loading...

Waziri wa Afya atembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja

Loading...
Waziri wa Afya atembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Afya atembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Afya atembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja
link : Waziri wa Afya atembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja

soma pia


Waziri wa Afya atembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja

 Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed kulia akifanya ziara ya kutembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja kuangalia Miradi na mafanikio mbalimbali yanayo patikana katika hospitali hiyo. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar
 Daktari wa Hospitali ya Makunduchi Vuai Abdalla (MD) akimuelezea Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed maendeleo na changamoto zinazowakabili katika Hospitali hiyo.
 Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akisalimiana na Mzazi Asia Issa Hassan mkaazi wa Makunduchi aliyekuja kujifungua katika Hospitali hiyo na kumuelezea furaha yake ya kufuata uzazi wa Mpango.

  Muonekano wa Jengo jipya la kituo cha Watoto liliopo ndani ya Hospitali ya Makunduchi.
Muonekano wa Jengo litakalotumika kama Makaazi ya Madaktari kwa ajili ya kuondoa usumbufu wa Madaktari waliokuwa hawana nyumba ya kuishi katika Hospitali hiyo. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar


Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akimsikiliza Mpishi wa kituo hicho Suleiman Mohammed Suleiman aliyekuwa akimuelezea changato wanazokabiliana nazo katika kutoa huduma ya chakula. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar


Hivyo makala Waziri wa Afya atembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja

yaani makala yote Waziri wa Afya atembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Afya atembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/waziri-wa-afya-atembelea-hospitali-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri wa Afya atembelea Hospitali ya Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja"

Post a Comment

Loading...