Loading...
title : WAHALIFU 13 WAUAWA NA POLISI KIBITI
link : WAHALIFU 13 WAUAWA NA POLISI KIBITI
WAHALIFU 13 WAUAWA NA POLISI KIBITI
mwambawahabari
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas kuhusiana na tukio la kuuawa wahalifu 13 katika majibizano ya risasi baina ya Polisi na wahalifu hao katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafaya Kibiti.Chini ni silaha 8 aina ya SMG pamoja na vifaa vingine zilizopatikana katika majibizano hayo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akionesha makasha ya risasi(magazine) ambazo ni miongoni mwa makasha 8 yaliyokuwa ya kitumiwa na wahalifu katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti. Wa kwanza kushoto ni Kamishina wa Polisi Jamii (CP) MussaAlli Musa akifuatiwa na Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi,Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas. Katikat ukio hilo Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwaua wahalifu 13 ambao walikuwa wakifanya mauaji Kibiti.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akionesha silaha aina ya SMG ambayo ni miongoni mwa silaha 8 zilizokuwa zikitumiwa na wahalifu 13 walioua wakatika majibizano ya risasi baina yao na Jeshi la Polisi katika eneo laTangi bovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti.Wa kwanza kulia ni Kamishina wa Polisi Jamii (CP) Mussa Alli Musa akifuatiwa na Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi,Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas.–
Picha na Jeshi La Polisi
Hivyo makala WAHALIFU 13 WAUAWA NA POLISI KIBITI
yaani makala yote WAHALIFU 13 WAUAWA NA POLISI KIBITI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAHALIFU 13 WAUAWA NA POLISI KIBITI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/wahalifu-13-wauawa-na-polisi-kibiti.html
0 Response to "WAHALIFU 13 WAUAWA NA POLISI KIBITI"
Post a Comment