Loading...

ACP ABDI ISANGO AWAPA SOMO MADEREVA JUU YA USALAMA BARABARANI NA KUPIMA AFYA KATIKA KITUO CHA NORTH STAR ALLIANCE (KURASINI) , JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
ACP ABDI ISANGO AWAPA SOMO MADEREVA JUU YA USALAMA BARABARANI NA KUPIMA AFYA KATIKA KITUO CHA NORTH STAR ALLIANCE (KURASINI) , JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ACP ABDI ISANGO AWAPA SOMO MADEREVA JUU YA USALAMA BARABARANI NA KUPIMA AFYA KATIKA KITUO CHA NORTH STAR ALLIANCE (KURASINI) , JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ACP ABDI ISANGO AWAPA SOMO MADEREVA JUU YA USALAMA BARABARANI NA KUPIMA AFYA KATIKA KITUO CHA NORTH STAR ALLIANCE (KURASINI) , JIJINI DAR ES SALAAM
link : ACP ABDI ISANGO AWAPA SOMO MADEREVA JUU YA USALAMA BARABARANI NA KUPIMA AFYA KATIKA KITUO CHA NORTH STAR ALLIANCE (KURASINI) , JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


ACP ABDI ISANGO AWAPA SOMO MADEREVA JUU YA USALAMA BARABARANI NA KUPIMA AFYA KATIKA KITUO CHA NORTH STAR ALLIANCE (KURASINI) , JIJINI DAR ES SALAAM

Mgeni Rasmi katika wiki maadhimisho ya Usalama na Afya Barabarani ACP Abdi Isango Kamishna msaidizi wa Polisi na Mkuu wa Oparesheni Kitengo cha Usalama Barabarani Taifa, anamuwakilisha kamanda wa kikosi cha usalama wa barabarani Taifa akizindua rasmi shughuli hizo za upimaji wa afya kwa madereva wasafirishao mizigo masafa ya mbali iliyoandaliwa na North Star alliance kwa kushirikiana na Puma Energy Foundation , Impala Terminals na Trafigura Foundation.
Ndg. Henry Mgala Bantu mtaalam wa usafirishaji na uchukuzi na mbobezi wa usalama barabarani na Mjumbe wa Balaza la taifa la usalama barabarani na mwenyekiti wa elimu mafunzo na uenezi katika balaza hilo, akiwakumbusha madereva mambo mbalimbali muhimu yahusuyo Sheria za barabarani na somo muhimu la madereva kujitambua.
Mrakibu Msaidizi  wa Polisi Abben Swai Mkuu wa Kitengo cha Elimu Mafunzo na Uenezi wa kikosi cha Usalama wa barabarani Tanzania, akiendesha chemshabongo fupi kwa madereva wa magari ya mizigo yaendayo safari ndefu lengo ni kuwakumbusha tu kuendelea kuwa makini pindi wawapo safarini.
Mrakibu  Msaidizi wa Polisi Yoronimo Kwesibaga Saimon Mkuu wa kituo cha Polisi Bandari, akitoa salam zake wakati wa wiki ya maadhimisho ya siku ya usalama na afya barabarani.
Madereva pamoja na wageni wengine waalikwa wakiwa katika wiki ya kuelekea siku ya Usalama na Afya barabarani katika viwanja vya Impala Terminals. 



Hivyo makala ACP ABDI ISANGO AWAPA SOMO MADEREVA JUU YA USALAMA BARABARANI NA KUPIMA AFYA KATIKA KITUO CHA NORTH STAR ALLIANCE (KURASINI) , JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote ACP ABDI ISANGO AWAPA SOMO MADEREVA JUU YA USALAMA BARABARANI NA KUPIMA AFYA KATIKA KITUO CHA NORTH STAR ALLIANCE (KURASINI) , JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ACP ABDI ISANGO AWAPA SOMO MADEREVA JUU YA USALAMA BARABARANI NA KUPIMA AFYA KATIKA KITUO CHA NORTH STAR ALLIANCE (KURASINI) , JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/acp-abdi-isango-awapa-somo-madereva-juu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ACP ABDI ISANGO AWAPA SOMO MADEREVA JUU YA USALAMA BARABARANI NA KUPIMA AFYA KATIKA KITUO CHA NORTH STAR ALLIANCE (KURASINI) , JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...