Loading...
title : Ajali ya Treni Jijini Dar es Salaam Yajeruhi Watu Tisa.
link : Ajali ya Treni Jijini Dar es Salaam Yajeruhi Watu Tisa.
Ajali ya Treni Jijini Dar es Salaam Yajeruhi Watu Tisa.
Watu tisa wamejeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea asubuhi ya leo tarehe 2 Novemba 2018 maeneo ya Karakata wilayani Ilala jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Reli nchini, David Mnyambugha , ajali hiyo pia imesababisha kuharibika vibaya kwa mabehewa mawili na kwamba majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa hospitalini kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Amesema mabehewa hayo hayafai kuendelea na safari hadi yavutwe, na kwamba taarifa kuhusu safari za treni hiyo itatolewa hapo baadae na mamlaka husika ambayo ni Shirika la Reli nchini (TRC).
Hivyo makala Ajali ya Treni Jijini Dar es Salaam Yajeruhi Watu Tisa.
yaani makala yote Ajali ya Treni Jijini Dar es Salaam Yajeruhi Watu Tisa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ajali ya Treni Jijini Dar es Salaam Yajeruhi Watu Tisa. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/ajali-ya-treni-jijini-dar-es-salaam.html
0 Response to "Ajali ya Treni Jijini Dar es Salaam Yajeruhi Watu Tisa."
Post a Comment