Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, Awasili Kisiwani Pemba Kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Sheria Kisiwani Pemba Kesho.
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, Awasili Kisiwani Pemba Kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Sheria Kisiwani Pemba Kesho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, Awasili Kisiwani Pemba Kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Sheria Kisiwani Pemba Kesho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba,leo jioni.kuhudhuria kesho Maadhimisho ya Siku ya Sheria Kitaifa zinafanyika Kisiwani Pemba.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Omar Khamis Othman, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba,leo jioni.kuhudhuria kesho Maadhimisho ya Siku ya Sheria Kitaifa zinafanyika Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba,leo jioni.kuhudhuria kesho Maadhimisho ya Siku ya Sheria Kitaifa zinafanyika Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba, leo jioni. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vikosi Vya Ulinzi na Usalama , alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba, leo jioni.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, Awasili Kisiwani Pemba Kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Sheria Kisiwani Pemba Kesho.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, Awasili Kisiwani Pemba Kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Sheria Kisiwani Pemba Kesho. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, Awasili Kisiwani Pemba Kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Sheria Kisiwani Pemba Kesho. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_3.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, Awasili Kisiwani Pemba Kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Sheria Kisiwani Pemba Kesho."
Post a Comment