Loading...

BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS LEO JIJINI DODOMA

Loading...
BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS LEO JIJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS LEO JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS LEO JIJINI DODOMA
link : BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS LEO JIJINI DODOMA

soma pia


BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS LEO JIJINI DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa Kuwait nchini Mhe. Mubarak Mohammed Faleh ALSEHAIJAN aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Kilimani jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi mpya wa Kuwait nchini Mhe. Mubarak Mohammed Faleh ALSEHAIJAN aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Kilimani jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)  
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi mpya wa Kuwait nchini Mhe. Mubarak Mohammed Faleh ALSEHAIJAN aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Kilimani jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi mpya wa Kuwait nchini Mhe. Mubarak Mohammed Faleh ALSEHAIJAN aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Kilimani jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS LEO JIJINI DODOMA

yaani makala yote BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS LEO JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS LEO JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/balozi-mpya-wa-kuwait-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BALOZI MPYA WA KUWAIT NCHINI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS LEO JIJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...