Loading...
title : WAHITIMU MAJENGO SEC. 2000 WASAIDIA YATIMA, DAR, MWANZA NA KILIMANJARO
link : WAHITIMU MAJENGO SEC. 2000 WASAIDIA YATIMA, DAR, MWANZA NA KILIMANJARO
WAHITIMU MAJENGO SEC. 2000 WASAIDIA YATIMA, DAR, MWANZA NA KILIMANJARO
Mmoja wa wakilishi wa Kundi la Wasapu la Wanafunzi wahitimu kidato cha nne mwaka 2000 katika Sekondari ya Majengo iliyopo mkoani Kilimanjaro, Eng. Willbard Gandu (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada wa wanafunzi hao katika kituo yatima cha ‘Green Pastures’ cha jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wakilishi wa Kundi la Wasapu la Wanafunzi wahitimu kidato cha nne mwaka 2000 katika Sekondari ya Majengo iliyopo mkoani Kilimanjaro, Injinia Eng. Maeda (kulia) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo yatima cha ‘Green Pastures’ cha jijini Dar es Salaam sehemu ya msaada uliotolewa na wanafunzi hao.
Mmoja wa viongozi wa kundi hilo la wanafunzi waliohitimu Sekondari ya Majengo, Joachim Mushi (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha watoto yatima ‘Green Pastures’, Mchungaji Douglas Kiseu sehemu ya msaada uliotolewa na kundi lao.
Mmoja wa wakilishi wa Kundi la Wasapu la Wanafunzi wahitimu kidato cha nne mwaka 2000 katika Sekondari ya Majengo iliyopo mkoani Kilimanjaro, Bw. Oswald (kulia) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo yatima cha ‘Green Pastures’ cha jijini Dar es Salaam sehemu ya msaada uliotolewa na wanafunzi hao.
Mmoja wa viongozi wa Kundi la Wasapu la Wanafunzi wahitimu kidato cha nne mwaka 2000 katika Sekondari ya Majengo, Bi. Grace Minja (kulia) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo yatima cha ‘Green Pastures’ cha jijini Dar es Salaam sehemu ya msaada uliotolewa na wanafunzi hao.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala WAHITIMU MAJENGO SEC. 2000 WASAIDIA YATIMA, DAR, MWANZA NA KILIMANJARO
yaani makala yote WAHITIMU MAJENGO SEC. 2000 WASAIDIA YATIMA, DAR, MWANZA NA KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAHITIMU MAJENGO SEC. 2000 WASAIDIA YATIMA, DAR, MWANZA NA KILIMANJARO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/wahitimu-majengo-sec-2000-wasaidia.html
0 Response to "WAHITIMU MAJENGO SEC. 2000 WASAIDIA YATIMA, DAR, MWANZA NA KILIMANJARO"
Post a Comment