Loading...

BENKI KUU YAFANYA OPARESHENI MAALUM YA UKAGUZI, UDHIBITI WA BIASHARA HARAMU YA FEDHA ZA KIGENI NA UKIUKAJI WA SHERIA KATIKA KUENDESHA BIASHARA YA UBADILISHAJI FEDHA

Loading...
BENKI KUU YAFANYA OPARESHENI MAALUM YA UKAGUZI, UDHIBITI WA BIASHARA HARAMU YA FEDHA ZA KIGENI NA UKIUKAJI WA SHERIA KATIKA KUENDESHA BIASHARA YA UBADILISHAJI FEDHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI KUU YAFANYA OPARESHENI MAALUM YA UKAGUZI, UDHIBITI WA BIASHARA HARAMU YA FEDHA ZA KIGENI NA UKIUKAJI WA SHERIA KATIKA KUENDESHA BIASHARA YA UBADILISHAJI FEDHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI KUU YAFANYA OPARESHENI MAALUM YA UKAGUZI, UDHIBITI WA BIASHARA HARAMU YA FEDHA ZA KIGENI NA UKIUKAJI WA SHERIA KATIKA KUENDESHA BIASHARA YA UBADILISHAJI FEDHA
link : BENKI KUU YAFANYA OPARESHENI MAALUM YA UKAGUZI, UDHIBITI WA BIASHARA HARAMU YA FEDHA ZA KIGENI NA UKIUKAJI WA SHERIA KATIKA KUENDESHA BIASHARA YA UBADILISHAJI FEDHA

soma pia


BENKI KUU YAFANYA OPARESHENI MAALUM YA UKAGUZI, UDHIBITI WA BIASHARA HARAMU YA FEDHA ZA KIGENI NA UKIUKAJI WA SHERIA KATIKA KUENDESHA BIASHARA YA UBADILISHAJI FEDHA


*Wenye maduka ya kubadilisha fedha waliokiuka sheria kukiona,leseni zao zatakiwa BoT
*Pia kuzuia kuendelea kwa ukiukaji wa sheria na kudhibiti uendeshaji wa biashara ya ubadilishaji fedha

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

BENKI Kuu ya Tanzania(BoT) imesema imefanya oparesheni ya kushtukiza ya kukagua maduka ya ubadilishaji fedha na baadhi ya maduka bubu ambayo hayana leseni lakini yalikuwa yakiendesha biashara hiyo kinyume na sheria.

Operesheni hiyo iliratibiwa na Kitengo cha Ukaguzi cha Benki Kuu katika kutekeleza majukumu yake kisheria na kwamba hiyo ni oparesheni ya tatu kufanyika. 

Akizungumza leo Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania amesema uchunguzi wa kina katika miezi sita iliyopita ulibaini kuongezeka kwa biashara za kubadilisha fedha kinyume cha sheria, na kukua kwa biashara haramu ya fedha za kigeni na utakatishaji fedha, hususan kupitia maduka ya kubadilisha fedha.

Amesema BoT kupitia juhudi za Kitengo cha Ukaguzi kuwapata wahusika hazikuzaa matunda katika oparesheni mbili zilizopita. Hiyo ni kwa sababu iligundulika kuwa kuna mtandao mpana na madhubuti wa shughuli hizo na ambao ulilenga kuhakikisha kuwa shughuli za udhibiti hazifanikiwi. Baada ya mashauriano na wataalam na kushirikisha vyombo vya upelelezi na usimamizi ilionekana kuwa ili kufanikisha operesheni hiyo lililokusudiwa ni muhimu wahusika wote wadhibitiwe kwa wakati mmoja na kufanyiwa ukaguzi.

" Hii ilihitaji ushiriki wa maofisa wengi sana kutoka vyombo mbalimbali na kuhakikisha kila mahali ambapo ukaguzi uliendeshwa kuna usalama wa kutosha na Wananchi wanaarifiwa kutoingia sehemu husika kwa wakati huo. Baadhi ya washiriki katika zoezi hilo ni askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania wakiwa katika sare zao bila silaha.

"Hii ni kwa sababu siku oparesheni ilipofanyika askari wengi wa Jeshi la Polisi wapo kwenye kusimamia usalama katika vituo vya mitihani ya kidato cha pili inayoendelea," imeeleza taarifa hiyo ya BoT.Napenda kuwaarifu wananchi kuwa oparesheni hii imeisha salama na bila kuathiri mtu yeyote na tunawashukuru wananchi wa Jiji la Arusha kwa ushirikiano, hasa kwa kuwa watulivu,"amesema.

Amefafanua taratibu zinazoendelea ni za kisheria na kwamba mahojiano na wahusika yanakamilishwa na wale watakaokutwa na tuhuma za ukiukaji sheria watashughulikiwa kufuatana na taratibu za kisheria. Aidha amesema Benki Kuu inachukua hatua zifuatazo kuzuia kuendelea kwa ukiukaji wa sheria na kudhibiti uendeshaji wa biashara ya ubadilishaji fedha. Kwa takribani miezi mitatu sasa benki hiyo imesitisha utoaji wa leseni za biashara ya ubadilishaji fedha. 



Hivyo makala BENKI KUU YAFANYA OPARESHENI MAALUM YA UKAGUZI, UDHIBITI WA BIASHARA HARAMU YA FEDHA ZA KIGENI NA UKIUKAJI WA SHERIA KATIKA KUENDESHA BIASHARA YA UBADILISHAJI FEDHA

yaani makala yote BENKI KUU YAFANYA OPARESHENI MAALUM YA UKAGUZI, UDHIBITI WA BIASHARA HARAMU YA FEDHA ZA KIGENI NA UKIUKAJI WA SHERIA KATIKA KUENDESHA BIASHARA YA UBADILISHAJI FEDHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI KUU YAFANYA OPARESHENI MAALUM YA UKAGUZI, UDHIBITI WA BIASHARA HARAMU YA FEDHA ZA KIGENI NA UKIUKAJI WA SHERIA KATIKA KUENDESHA BIASHARA YA UBADILISHAJI FEDHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/benki-kuu-yafanya-oparesheni-maalum-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BENKI KUU YAFANYA OPARESHENI MAALUM YA UKAGUZI, UDHIBITI WA BIASHARA HARAMU YA FEDHA ZA KIGENI NA UKIUKAJI WA SHERIA KATIKA KUENDESHA BIASHARA YA UBADILISHAJI FEDHA"

Post a Comment

Loading...