Loading...

BENKI YA AMANA,KAMPUNI YA TY SERVICES LTD WASAINI MKATABA KUWEZESHA MADEREVA KUMILIKI MAGARI

Loading...
BENKI YA AMANA,KAMPUNI YA TY SERVICES LTD WASAINI MKATABA KUWEZESHA MADEREVA KUMILIKI MAGARI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA AMANA,KAMPUNI YA TY SERVICES LTD WASAINI MKATABA KUWEZESHA MADEREVA KUMILIKI MAGARI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA AMANA,KAMPUNI YA TY SERVICES LTD WASAINI MKATABA KUWEZESHA MADEREVA KUMILIKI MAGARI
link : BENKI YA AMANA,KAMPUNI YA TY SERVICES LTD WASAINI MKATABA KUWEZESHA MADEREVA KUMILIKI MAGARI

soma pia


BENKI YA AMANA,KAMPUNI YA TY SERVICES LTD WASAINI MKATABA KUWEZESHA MADEREVA KUMILIKI MAGARI

 BENKI ya Amana na Kampuni ya TY Services Limited inayoendesha mtandao wa Taxify nchini zimesaini mkataba wa kuwawezesha madereva 50 wa mtandao huo kumiliki magari. Hayo yamesemwa  jijini Dar es Salaam na Meneja Biashara wa Benki ya Amana Dassu Mussa wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kusainiana mkataba huo.

Mussa alisema benki hiyo imejipanga kuwezesha jamii ya Kitanzania kuondoka katika wimbi la umaskini hivyo mkataba huo utafungua njia ya kiuchumi.  Alisema benki hiyo inayoendeshwa kwa kuzingatia mfumo wa kiislam hatua hiyo ya kushirikiana na Taxify ni sehemu ya mikakati ya kuwa benki kiongozi katika kutoa hiding za kibunifu. 

"Uwezeshaji huu utakuwa wa vikundi vya madereva 10 ambao watadhaminiana wenyewe na ataweka dhamana isiyopungua asilimia 10 ya thamani ya chombo anachohitaji kuwezeshwa, na dhamana hiyo itatumika hadi kumaliza marejesho,"alisema.
Alisema mkataba huo unamtaka dereva aweke akiba ya Sh. 15,000 kwa wiki ambayo itakuwa dhamana hadi dereva atakapokamilisha rejesho miaka miaka miwili.

"Benki itazingatia vigezo mbalimbali katika kutoa uwezeshaji huo ikiwemo dereva kuwa na uzoefu wakutosha,"alisema.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkazi wa TY Services, Remmy Eseka alisema ushirikiano huo ni chachu ya kuongeza ajira kwa Watanzania. Eseka alisema mtandao wa Taxify upo katika mikoa mitatu ya Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma hiyo ujio wa Amana katika huduma hiyo ni fursa muhimu.

"Tumejipanga kutumia fursa hii ya Amana Benki kuwezesha madereva wa taxify nchini naamini utakuwa mchango mkubwa kwa uchumi wa nchi,"alisema.


Hivyo makala BENKI YA AMANA,KAMPUNI YA TY SERVICES LTD WASAINI MKATABA KUWEZESHA MADEREVA KUMILIKI MAGARI

yaani makala yote BENKI YA AMANA,KAMPUNI YA TY SERVICES LTD WASAINI MKATABA KUWEZESHA MADEREVA KUMILIKI MAGARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA AMANA,KAMPUNI YA TY SERVICES LTD WASAINI MKATABA KUWEZESHA MADEREVA KUMILIKI MAGARI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/benki-ya-amanakampuni-ya-ty-services.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA AMANA,KAMPUNI YA TY SERVICES LTD WASAINI MKATABA KUWEZESHA MADEREVA KUMILIKI MAGARI"

Post a Comment

Loading...