Loading...
title : BENKI YA CRDB YAMTAMBULISHA MKURUGENZI MTENDAJI WAKE NCHINI BURUNDI
link : BENKI YA CRDB YAMTAMBULISHA MKURUGENZI MTENDAJI WAKE NCHINI BURUNDI
BENKI YA CRDB YAMTAMBULISHA MKURUGENZI MTENDAJI WAKE NCHINI BURUNDI
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay aliyemtembelea Ikulu ya Bujubura, kwa lengo la kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela (kulia). Rais Nkurunziza alipongeza uteuzi wa Mkurugenzi huyo na kumtakia mafanikio zaidi katika kazi yake na kumuomba kuongeza matawi ya Benki hiyo nchini Burundi ili watu wawe na utamaduni wa kuhifadhi fedha zao benki na sio kuzihifadhi ndani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza jambo wakati alipomtembelea Naibu Katibu Mkuu wa Chama tawala cha CNDD-FDD nchini Burundi, Balozi Joseph Ntakirutimana (kulia) ikiwa ni semu ya ziara yake ya kujitambulisha tangu ateuliwe kushika nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay
Naibu Katibu Mkuu wa Chama tawala cha CNDD-FDD nchini Burundi, Balozi Joseph Ntakirutimana akifafanua jambo wakati akizungumza na Ujumbe wa Benki ya CRDB uliomtembelea ofisini kwake, jijini Bujumbura, Burundi hivi karibuni.
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt. Edmund Kitokezi akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela aliyemtembelea Ubalozini, jijini Bujumbura nchini Burundi.
Gavana wa Benki Kuu ya Burundi, Jean Ciza (kushoto) akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay aliyemtembelea ofisini kwake Bujubura, kwa lengo la kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela (kulia).
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati) akifurahi jambo na Gavana wa Benki Kuu ya Burundi, Jean Ciza (kulia) pamoja na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Burundi, Melchior Wagara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akieleza jambo kwa Mmoja wa Wateja wakubwa wa Benki ya CRDB nchini Burundi na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Interpetrol, Tariq Bashir.
Hivyo makala BENKI YA CRDB YAMTAMBULISHA MKURUGENZI MTENDAJI WAKE NCHINI BURUNDI
yaani makala yote BENKI YA CRDB YAMTAMBULISHA MKURUGENZI MTENDAJI WAKE NCHINI BURUNDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YAMTAMBULISHA MKURUGENZI MTENDAJI WAKE NCHINI BURUNDI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/benki-ya-crdb-yamtambulisha-mkurugenzi.html
0 Response to "BENKI YA CRDB YAMTAMBULISHA MKURUGENZI MTENDAJI WAKE NCHINI BURUNDI"
Post a Comment