Loading...
title : IGP SIMON SIRRO AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO.
link : IGP SIMON SIRRO AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO.
IGP SIMON SIRRO AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO.

Aidha amewashukuru wananchi na wafanyabiashara wa Kariakoo kwa ushirikiano wao huku akiwataka waendelee kuwafichua wahalifu wa mifukoni na wale wanaotumia udanganyifu wa kuwaibia watu kwa kuwauzia sabuni na kusema mwisho wao hauta kuwa mzuri maana uhalifu hauna nafasi nchini.
IGP Sirro amewataka wananchi wote kwa ujumla kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi hasa pale wanapokuwa na shaka na jambo fulani ili hatua z mapema ziweze kuchukuliwa kwa lengo la kuulinda usalama na amani iliyopo nchini, lakini pia amewahakikishia wananchi kuwa katika kipindi hiki cha sikukuu za Pasaka Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuhakikisha kuwa linasimamia usalama wa raia na mali zao ili waweze kusherekea wakiwa salama.
Hivyo makala IGP SIMON SIRRO AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO.
yaani makala yote IGP SIMON SIRRO AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIMON SIRRO AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/igp-simon-sirro-akutana-na.html
0 Response to "IGP SIMON SIRRO AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO."
Post a Comment