Loading...
title : BREAKING NEWZZZZZ:MAHAKAMA YA KISUTU YAFUTA DHAMANA YA MBOWE NA MATIKO
link : BREAKING NEWZZZZZ:MAHAKAMA YA KISUTU YAFUTA DHAMANA YA MBOWE NA MATIKO
BREAKING NEWZZZZZ:MAHAKAMA YA KISUTU YAFUTA DHAMANA YA MBOWE NA MATIKO
Na Karama Kenyunko blogu ya jamii.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta dhamana ya Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mining Ester Matiko kwa kukiuka masharti ya dhamana.
Uamuzi huo umetolewa leo Novemba 23.2018 dakika chache zilizopita na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.
TUTAWALETEA HABARI KAMILI BAADAE KIDOGO.
Hivyo makala BREAKING NEWZZZZZ:MAHAKAMA YA KISUTU YAFUTA DHAMANA YA MBOWE NA MATIKO
yaani makala yote BREAKING NEWZZZZZ:MAHAKAMA YA KISUTU YAFUTA DHAMANA YA MBOWE NA MATIKO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZZZ:MAHAKAMA YA KISUTU YAFUTA DHAMANA YA MBOWE NA MATIKO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/breaking-newzzzzzmahakama-ya-kisutu.html
0 Response to "BREAKING NEWZZZZZ:MAHAKAMA YA KISUTU YAFUTA DHAMANA YA MBOWE NA MATIKO"
Post a Comment