Loading...
title : mkutano wa mwaka Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) wafanyika jijini Dar
link : mkutano wa mwaka Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) wafanyika jijini Dar
mkutano wa mwaka Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) wafanyika jijini Dar
Kaimu Mkurugenzi wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Bw Hisham Hendi akitoa mada kuhusiana na uchumi wa kidijitali katika mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Usimamizi wa Miradi uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Nyuma ni Mkurugenzi wa Muendeshaji wa kampuni ya FSDT, Bi Irene Mlola na Mwenyekiti wa DTBi, Bw Mihayo Wilmore.
Mkurugenzi Mtendaji wa Universal Communication Service Access Fund (UCSAF), Peter Ulanga akizungumza katika mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) uliofanyika jijini Dar es Salaam mapema jana. Mkutano huu umelenga kujadili ukuaji wa uchumi wa kidijitali.
Kaimu Mkurugenzi wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Bw Hisham Hendi akichangia mada kuhusiana na uchumi wa kidijitali kaatika mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Usimamizi wa Miradi uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Universal Communication Service Access Fund (UCSAF), Peter Ulanga.
Mshauri wa Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI, Bw Anael Ndosa, akichangia mada kuhusiana na uchumi wa kidijitali kaatika mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Usimamizi wa Miradi uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala mkutano wa mwaka Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) wafanyika jijini Dar
yaani makala yote mkutano wa mwaka Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) wafanyika jijini Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mkutano wa mwaka Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) wafanyika jijini Dar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/mkutano-wa-mwaka-taasisi-ya-usimamizi.html
0 Response to "mkutano wa mwaka Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) wafanyika jijini Dar"
Post a Comment