Loading...

DC MURO ALETA SULUHU MGOGORO WA KANISA ULIODUMU KWA TAKRIBANI MIAKA 13 ARUMERU

Loading...
DC MURO ALETA SULUHU MGOGORO WA KANISA ULIODUMU KWA TAKRIBANI MIAKA 13 ARUMERU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MURO ALETA SULUHU MGOGORO WA KANISA ULIODUMU KWA TAKRIBANI MIAKA 13 ARUMERU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MURO ALETA SULUHU MGOGORO WA KANISA ULIODUMU KWA TAKRIBANI MIAKA 13 ARUMERU
link : DC MURO ALETA SULUHU MGOGORO WA KANISA ULIODUMU KWA TAKRIBANI MIAKA 13 ARUMERU

soma pia


DC MURO ALETA SULUHU MGOGORO WA KANISA ULIODUMU KWA TAKRIBANI MIAKA 13 ARUMERU


Na. Vero Ignatus, Arusha

Mgogoro uliodumu kwa takribani miaka 13 wa kanisa la AMEKI wilayani Arumeru kata ya Usariva umemalizika kwa pande mbili kukubaliana kwa kuondoa tofauti zao na kuamua kuwa na kanisa moja na uongozi mmoja

Akizungumzia mgogoro huo uliodumu kwa miaka 13 mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro amewapongeza viongozi kwa hatua kubwa waliyoifikia kwani kwa miaka yote hali ilikuwa nzito na mgogoro ulidumaza maendeleo ya kanisa ,ustawi wa wananchi,maendeleo ya shughuli za serikali katika wilaya hiyo.

"Mhe. Baba Askofu, Mhe. Msaidizi wa , Askofu nimesimama hapa kwa niaba ya serikali kuwapongeza kwa hatua kubwa mliyofikia, tumekuwa na changamoto za mgogoro uliodumu kwa miaka 13''alisema Jerry.Jerry amesema kuwa serikali itaendelea kusimama na kanisa la AMEKI kuwaunga mkono katika juhudi za kuwaletea wananchi maendeleo sambamba na ukuaji wa kiroho na maendeleo ya waumini wao

'' Ndani ya miezi mitatu kama mkuu wa wilaya namshukuru sana Mungu kunifanya kuwa chachu ya kuwapatanisha viongozi hawa wa kanisa na leo wamekuwa wamoja na kanisa moja naamini sasa baraka zaungu zitaonekana''alisema Jerry .Sambamba na hayo amesema kwakuwa mgogoro umeisha,serikali inaanza kazi mara moja ndani ya wiki moja serikali itahakikisha kuwa inatatua changamoto zote ya maeneo yote ambayo yalikuwa ya kanisa

Baadhi ya Wachungaji na viongozi wa Makanisa ya Ameki nchini waliohudhuria ibada hiyo ya shukrani wakiwa na Baba askofu pamoja na makamu wa askofu katika ibada ya pamoja
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro akizungumza katika la AMEKI mara baada ya pande mbili hizo kuondoa tofauti zao na kuamua kuwa wamoja na uongozi mmoja
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro akimpongeza Baba Askofu wa kanisa la Ameki lililopo Wilayani hapo kata ya Usariva mara baada ya kuondoa tofauri zao na kutangaza Amani


Baadhi ya waumini katika kanisa la Ameki waliohuduria katika Ibada ya shukrani baada ya mgogoto huo uliodumu zaidi ya miaka 13 kumalizika



Hivyo makala DC MURO ALETA SULUHU MGOGORO WA KANISA ULIODUMU KWA TAKRIBANI MIAKA 13 ARUMERU

yaani makala yote DC MURO ALETA SULUHU MGOGORO WA KANISA ULIODUMU KWA TAKRIBANI MIAKA 13 ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MURO ALETA SULUHU MGOGORO WA KANISA ULIODUMU KWA TAKRIBANI MIAKA 13 ARUMERU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/dc-muro-aleta-suluhu-mgogoro-wa-kanisa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC MURO ALETA SULUHU MGOGORO WA KANISA ULIODUMU KWA TAKRIBANI MIAKA 13 ARUMERU"

Post a Comment

Loading...