Loading...
title : TCRA yatoa elimu kwa wanafunzi na walimu Shule ya Sekondari Morogoro
link : TCRA yatoa elimu kwa wanafunzi na walimu Shule ya Sekondari Morogoro
TCRA yatoa elimu kwa wanafunzi na walimu Shule ya Sekondari Morogoro
Na Chalila Kibuda .
Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) Kanda ya Mashariki imesema kuwa mawasiliano lazima yafuate sheria kwa wadau wote ili kulinda ustawi wa Taifa.
Hayo ameyasema Meneja wa Kanda ya Mashariki Mhandisi Lawi Odiero wakati walipotembelea Shule ya Sekondari Morogoro kwa ajili ya utoaji wa elimu ya mawasiliano ,amemesema watumiaji wa mawasiliano wanatakiwa kufuata sheria ili kutumia mawasiliano hayo kwa malengo yaliyowekwa.
Amesema kutokana na sheria iliyopo kwa mawasiliano yanaweza kumgharimu mtu yeyote kwa kukipa faini au kifungo cha hadi miaka mitatu.
Odiero amesema ni makosa kutumia laini ya simu ambayo haijasajiliwa pamoja na simu moja kumiliki zaidi ya mtu mmoja.Amesema kuwa simu ya biashara ya fedha inatakiwa kutumika kwa biashara hiyo tu katika kuondoa usumbufu wa mawasiliano mengine.
Mkuu wa Sule ya Sekondari Morogoro Boniface Gonjo amesema elimu iliyotolewa na TCRA wameielewa na kuahidi kuwa mabalozi katika mawasiliano.
Amesema TCRA iendelee kuwafikia watu wote kwani watu wengi wanatumia mawasiliano lakini hawajui madhara ya matumizi mabaya ya mawasiliano
Mkuu wa Shule wa Sekondari ya Morogoro Boniface Gonjo akizungumza kuhusiana na Ujio wa TCRA katika Shule hiyo
Afisa Elimu Mkoa Rhoda Mursuli akizungumza umuhimu wa matumizi bora ya mawasiliano kwa ustawi wa taifa
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Morogoro wakisikiliza mada kwa wataalam wa TCRA namna bora ya matumizi ya mawasiliano.

Hivyo makala TCRA yatoa elimu kwa wanafunzi na walimu Shule ya Sekondari Morogoro
yaani makala yote TCRA yatoa elimu kwa wanafunzi na walimu Shule ya Sekondari Morogoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TCRA yatoa elimu kwa wanafunzi na walimu Shule ya Sekondari Morogoro mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/tcra-yatoa-elimu-kwa-wanafunzi-na.html
0 Response to "TCRA yatoa elimu kwa wanafunzi na walimu Shule ya Sekondari Morogoro"
Post a Comment