Loading...

DKT SINARE YUSUPH AONGOZA KIKAO CHA SIKU MBILI CHA BODI YA WAKURUGENZI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA.

Loading...
DKT SINARE YUSUPH AONGOZA KIKAO CHA SIKU MBILI CHA BODI YA WAKURUGENZI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT SINARE YUSUPH AONGOZA KIKAO CHA SIKU MBILI CHA BODI YA WAKURUGENZI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT SINARE YUSUPH AONGOZA KIKAO CHA SIKU MBILI CHA BODI YA WAKURUGENZI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA.
link : DKT SINARE YUSUPH AONGOZA KIKAO CHA SIKU MBILI CHA BODI YA WAKURUGENZI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA.

soma pia


DKT SINARE YUSUPH AONGOZA KIKAO CHA SIKU MBILI CHA BODI YA WAKURUGENZI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA.



Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Baraza la Kilimo Tanzania Dkt Sinare Yusuph Sinare akisisitiza jambo wakati wa kikao cha siku mbili cha Bodi ya wakurugenzi wa Baraza la Kilimo kilichoanza leo Jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na wajumbe wa Bodi pamoja na Menejimenti ya Baraza la kilimo Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Kilimo Tanzania Bi Janeth Bitegeko akiwasilisha taarifa ya fedha kwa wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya Baraza la Kilimo Tanzania, kikao hicho cha Bodi kitafanyika Dar es Salaam kwa siku mbili ikiwa ni kikao cha kawaida .
Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya Baraza la Kilimo Tanzania Bw. Eneck Ndondole (kati kati) akichangia jambo kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Ubia wa Kilimo Tanzania, Baada ya Mratibu wa Mradi huo kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mradi huo kwenye kikao cha Bodi ya wakurugenzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Baraza la Kilimo Tanzania Dkt Sinare Yusuph Sinare akiongoza kikao cha Bodi ya wakurugenzi ya Baraza la Kilimo, kikao hicho cha siku mbili kilichoanza leo jijini Dra es salaam pia kilihudhuliwa na wajumbe wa Bodi na Menejiment ya Baraza la Kilimo ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Kilimo Bi Janeth Bitegeko.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Baraza la Kilimo Tanzania Dkt Sinare Yusuph Sinare akiongoza kikao cha Bodi ya wakurugenzi ya Baraza la Kilimo, kikao hicho cha siku mbili kilichoanza leo jijini Dra es salaam pia kilihudhuliwa na wajumbe wa Bodi na Menejiment ya Baraza la Kilimo ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Kilimo Bi Janeth Bitegeko.


Hivyo makala DKT SINARE YUSUPH AONGOZA KIKAO CHA SIKU MBILI CHA BODI YA WAKURUGENZI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA.

yaani makala yote DKT SINARE YUSUPH AONGOZA KIKAO CHA SIKU MBILI CHA BODI YA WAKURUGENZI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT SINARE YUSUPH AONGOZA KIKAO CHA SIKU MBILI CHA BODI YA WAKURUGENZI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/dkt-sinare-yusuph-aongoza-kikao-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DKT SINARE YUSUPH AONGOZA KIKAO CHA SIKU MBILI CHA BODI YA WAKURUGENZI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA."

Post a Comment

Loading...