Loading...

Ester Bulaya Aivaa Serikali Sakata la Sheria Mpya ya Mafao ya Hifadhi ya Jamii

Loading...
Ester Bulaya Aivaa Serikali Sakata la Sheria Mpya ya Mafao ya Hifadhi ya Jamii - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ester Bulaya Aivaa Serikali Sakata la Sheria Mpya ya Mafao ya Hifadhi ya Jamii, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ester Bulaya Aivaa Serikali Sakata la Sheria Mpya ya Mafao ya Hifadhi ya Jamii
link : Ester Bulaya Aivaa Serikali Sakata la Sheria Mpya ya Mafao ya Hifadhi ya Jamii

soma pia


Ester Bulaya Aivaa Serikali Sakata la Sheria Mpya ya Mafao ya Hifadhi ya Jamii



Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepinga sheria mpya ya mafao ya hifadhi ya jamii kikidai sheria hiyo inamuumiza mtumishi Mwenye kipato cha chini katika mafao yake pindi anapostaafu.

Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Makao makuu ya Chama hicho, Waziri kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Esther Amos Bulaya amesema sheria hiyo inampa mtumishi 25% ya mafao Yake pindi akistaafu huku 75% akilipwa ndani ya mshahara wake akiwa Kazini.

Bulaya amesema Serikali imekuwa ikikopa na kuchelewesha mafao ya wastaafu ambapo mpaka sasa serikali inadaiwa takriban trillion 8 na mifuko hiyo na kusisitiza ni Wajibu wa serikali kulipa Pesa hizo kwa maslahi ya wastaafu.

Hata hivyo amegusia suala la Ajira na kupanda kwa madaraja na mishahara kwa watumishi ambapo amesema kwa kipindi cha miaka 3 serikali imeshindwa kuajiri na kupandisha mishahara kwa watumishi hali inayopelekea ongezeko la vijana wasio na Ajira mtaani.

Bulaya ameishauri Serikali kama Waziri kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na kuwataka wafuate ushauri huo kwa maslahi mapana ya Taifa.


Hivyo makala Ester Bulaya Aivaa Serikali Sakata la Sheria Mpya ya Mafao ya Hifadhi ya Jamii

yaani makala yote Ester Bulaya Aivaa Serikali Sakata la Sheria Mpya ya Mafao ya Hifadhi ya Jamii Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ester Bulaya Aivaa Serikali Sakata la Sheria Mpya ya Mafao ya Hifadhi ya Jamii mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/ester-bulaya-aivaa-serikali-sakata-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Ester Bulaya Aivaa Serikali Sakata la Sheria Mpya ya Mafao ya Hifadhi ya Jamii"

Post a Comment

Loading...