Loading...

Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu

Loading...
Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu
link : Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu

soma pia


Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu

Wafanyakazi walioagwa baada ya kumaliza utumishi wao wa kazi katika Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Zanzibar
Mkurugenzi  Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Zanzibar Salum Kitwana Sururu akitoa shukurani zake kwa Wafanyakazi hao (hawapo pichani) na kuwatakia kheri katika maisha yao
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar  anaeshughulikia masuala ya Habari  Dkt. Saleh Yussuf Mnemo akimkabidhi cheti maalum Bi. Jokha Ali Simba mmoja ya wafanyakazi waliostaafu Idara ya Makumbusho ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu Chama cha Wafanyakazi Zanzibar (ZAPSU) Mwatumu Khamis Othman akimkabidhi saa ya ukutani mzee  Mussa Vuai Pakia  katika khafla ya kuwaaga wafanyakazi hao iliofanyika  ukumbi wa Palace Museum Forodhani Mjini Zanzibar.
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale  anaeshughulikia masuala ya Habari Dkt. Saleh Yussuf Mnemo akizungumza katika khafla ya kuwaaga wafanyakazi hao iliofanyika  ukumbi wa Palace Museum Forodhani Mjini Zanzibar.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa  Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale waliohudhuria katika ghafla ya kuwaaga wafanyakazi wenzao waliomaliza muda wa kufanya kazi katika Idara hiyo.
Picha na Abdalla Omar Habari  -  Maelezo Zanzibar.


Hivyo makala Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu

yaani makala yote Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/idara-ya-makumbusho-na-mambo-ya-kale.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale yawaaga watumishi wake wanaostaafu"

Post a Comment

Loading...