Loading...
title : Watumishi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wapewa mafunzo ya OPRAS
link : Watumishi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wapewa mafunzo ya OPRAS
Watumishi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wapewa mafunzo ya OPRAS
Na Mwandishi Maalum, Dodoma
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt Evaristo Longopa amesema, Mfumo wa Wazi wa Mapitio na Tathmini ya utendaji wa Kazi ( OPRAS) utasaidia sana katika kuwapima watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Dkt. Longopa ameyasema hayo hivi karibuni wakati akifungua mafunzo ya siku tatu ya uwezeshaji kuhusu mfumo wa OPRAS kwa watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mafunzo hayo yaliwahusisha Manejimenti, Mawakili wa Serikali na watumishi wa kada nyingine na yalifanyika katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Jijini Dodoma.
Katika mafunzo hayo, pamoja na watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu kuelimishwa Sheria na Nyaraka mbalimbali zilizoanzisha OPRAS pia walielimishwa kuhusu umuhimu wa kila mtumishi katika utumishi umma wa kujaza fomu ya OPRAS kila mwaka kwa kushirikiana na Mkuu wake wa Kazi na kwamba zoezi hilo linatakiwa kufanyika kwa uwazi.
“ Katika vikao vyetu vya menejimenti, tulikubaliana kwamba, upo umuhimu wa zoezi la upimaji na tathmini ya utendaji kazi kwa watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Zoezi hili litatusaidia sana katika kujipima na kuwapima walio chini yetu ilikufikia malengo ambayo Ofisi yetu imejiwekea na hatimaye malengo ya Serikali kwa ujumla”. Akasema Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Evaristo Longopa wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya OPRAS kwa watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikakali. Mafunzo hayo yalihusisha Menejiment, Mawakili wa Serikali na Watumishi wa kada nyingine . Walioketi nyuma ni wawezeshaji kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Zainabu Kutengezah na Bi. Shomi Mongi.
Bi. Susan S. Kalele ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi Raslimali watu Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali akitoa maelezo kwa Menejiment kuhusu mfumo wa OPRAS
Wakili wa Serikali Bi. Juliana Mnisi akiuliza swali kwa wawezeshaji kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Bi Dorina Kalumna akitoa maelezo kwa watumishi wenzie jinsi ya kufikia ukokotoaji wa alama ambazo mtumishi na kiongozi wake wanakuwa wameafikiana wakati wa ujazaji wa fomu ya OPRAS.
habari na picha kwa hisani ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Hivyo makala Watumishi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wapewa mafunzo ya OPRAS
yaani makala yote Watumishi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wapewa mafunzo ya OPRAS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Watumishi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wapewa mafunzo ya OPRAS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/watumishi-ofisi-ya-mwanasheria-mkuu.html
0 Response to "Watumishi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wapewa mafunzo ya OPRAS"
Post a Comment