Loading...

JWTZ YAPOTEZA WENGINE WATATU DRC, AFRIKA YA KATI

Loading...
JWTZ YAPOTEZA WENGINE WATATU DRC, AFRIKA YA KATI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JWTZ YAPOTEZA WENGINE WATATU DRC, AFRIKA YA KATI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JWTZ YAPOTEZA WENGINE WATATU DRC, AFRIKA YA KATI
link : JWTZ YAPOTEZA WENGINE WATATU DRC, AFRIKA YA KATI

soma pia


JWTZ YAPOTEZA WENGINE WATATU DRC, AFRIKA YA KATI

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kama mnavyofahamu linashiriki Ulinzi wa Amani ndani na nje ya Bara la Afrika.

JWTZ linasikitika kuwataarifu kwamba limewapoteza wapiganaji wake watatu (3) waliofariki kwa tarehe tofauti nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Afrika ya Kati (CAR) wakiwa kwenye jukumu la Ulinzi wa Amani baada ya kushambuliwa na vikundi vinavyosadikiwa kuwa ni vya waasi.           

Mashujaa wetu waliouwawa ni Koplo Mohamed Mussa, Koplo Erick Masauri John na Praiveti Musa Shija Machibya.  Miili ya marehemu hao tayari imepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kuhifadhiwa katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo.

Heshima za mwisho kwa mashujaa wetu hao zitatolewa katika sehemu ya kuagia Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo kesho tarehe 23 Novemba 2018 kuanzia saa 2.30 asubuhi.  Vyombo vya Habari na Wananchi wanakaribishwa tuungane katika kuaga mashujaa wetu.

Mungu azilaze Roho za Mashujaa wetu mahali pema Peponi, Amina.


Hivyo makala JWTZ YAPOTEZA WENGINE WATATU DRC, AFRIKA YA KATI

yaani makala yote JWTZ YAPOTEZA WENGINE WATATU DRC, AFRIKA YA KATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JWTZ YAPOTEZA WENGINE WATATU DRC, AFRIKA YA KATI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/jwtz-yapoteza-wengine-watatu-drc-afrika.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JWTZ YAPOTEZA WENGINE WATATU DRC, AFRIKA YA KATI"

Post a Comment

Loading...