Loading...
title : JUKWAA LA TISA LA BIASHARA KATI YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI KUFANYIKA JUMAMOSI ZANZIBAR
link : JUKWAA LA TISA LA BIASHARA KATI YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI KUFANYIKA JUMAMOSI ZANZIBAR
JUKWAA LA TISA LA BIASHARA KATI YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI KUFANYIKA JUMAMOSI ZANZIBAR
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salum Ali (katikati )akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Jukwaa la Tisa la Biashara baina ya Serikali na Sekta Binafsi litakalofanyika siku ya Jumamosi 24/11/2018 katika Ukumbi wa Sheih Idrisa Abdul Wakil hafla iliofanyika Ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano na Waandishi wahabari kuhusiana na Jukwaa la Tisa la Biashara baina ya Serikali na Sekta Binafsi litakalofanyika siku ya Jumamosi 24/11/2018 katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil hafla iliofanyika Ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar.
-Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali akisisitiza jambo wakati akijibu Maswali mbalimbali alioulizwa katika mkutano na Waandishi wahabari kuhusiana na Jukwaa la Tisa la Biashara baina ya Serikali na Sekta Binafsi litakalofanyika siku ya Jumamosi 24/11/2018 katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil hafla iliofanyika Ofisini kwake Migombani mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala JUKWAA LA TISA LA BIASHARA KATI YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI KUFANYIKA JUMAMOSI ZANZIBAR
yaani makala yote JUKWAA LA TISA LA BIASHARA KATI YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI KUFANYIKA JUMAMOSI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JUKWAA LA TISA LA BIASHARA KATI YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI KUFANYIKA JUMAMOSI ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/jukwaa-la-tisa-la-biashara-kati-ya.html
0 Response to "JUKWAA LA TISA LA BIASHARA KATI YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI KUFANYIKA JUMAMOSI ZANZIBAR"
Post a Comment