Loading...

Kampuni ya TanzaRice yaja na bidhaa ya mchele kuchochea ajira kwa vijana

Loading...
Kampuni ya TanzaRice yaja na bidhaa ya mchele kuchochea ajira kwa vijana - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kampuni ya TanzaRice yaja na bidhaa ya mchele kuchochea ajira kwa vijana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kampuni ya TanzaRice yaja na bidhaa ya mchele kuchochea ajira kwa vijana
link : Kampuni ya TanzaRice yaja na bidhaa ya mchele kuchochea ajira kwa vijana

soma pia


Kampuni ya TanzaRice yaja na bidhaa ya mchele kuchochea ajira kwa vijana

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.

Kampuni ya TanzaRice International Ltd imesema kuwa mchele una fursa ya ajira kubwa lakini watu bado hawana uelewe ya kufanya biashara hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi wa kampuni hiyo Deo Mbasa amesema kuwa wamefanya utafiti na kuona biashara hiyo inaweza kuwakomboa wananchi kiuchumi kwa kuuza mchele huo kupitia kampuni.

Amesema kuwa wajasiriaali wakijiunga na kampuni hiyo wanaweza kupata mchele na kuuza kwa jamii inayowazunguka.Mbasa amesema kuna faida ya kuuza mchele kwani kinachotakiwa ni uaminifu wa mtu kwa kuchukua mchele bila ya kuwa na hela mara baada ya kujiunga na kampuni hiyo.

"Hatuwezi kila kitu tunafikiria mtaji wakati ukiwa na uaminifu unaweza kufanya biashara hata kama hauna mtaji na baadae ukawa umejikwamua kiuchumi"amesema Mbasa.
 Mkurugenzi wa TanzaRice Deo Mbasa akitoa maada wakati wa mafunzo ya wajasiriaali .
Mjasiriamali wa bidhaa ya Mchele kupitia kampuni hiyo Even John akizungumza mafanikio ya biashara ya mchele.
 Bidhaa ya mchele ikioneshwa kwa wajasiriamali katika mafunzo yaliyoandaliwa na kampuni ya TanzaRice
 washiriki wa wajasiriaali wa Mchele wakiwa katika mafunzo yaliyoandaliwa na kampuni ya TanzaRice
Mkurugenzi wa Kampuni ya TanzaRice Deo Mbasa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na fursa iliyopo katika bidhaa ya mchele.


Hivyo makala Kampuni ya TanzaRice yaja na bidhaa ya mchele kuchochea ajira kwa vijana

yaani makala yote Kampuni ya TanzaRice yaja na bidhaa ya mchele kuchochea ajira kwa vijana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kampuni ya TanzaRice yaja na bidhaa ya mchele kuchochea ajira kwa vijana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/kampuni-ya-tanzarice-yaja-na-bidhaa-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kampuni ya TanzaRice yaja na bidhaa ya mchele kuchochea ajira kwa vijana"

Post a Comment

Loading...