Loading...

SERIKALI YAELEZA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI HAPA NCHINI - NAIBU WAZIRI JAPHET HASUNGA

Loading...
SERIKALI YAELEZA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI HAPA NCHINI - NAIBU WAZIRI JAPHET HASUNGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAELEZA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI HAPA NCHINI - NAIBU WAZIRI JAPHET HASUNGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAELEZA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI HAPA NCHINI - NAIBU WAZIRI JAPHET HASUNGA
link : SERIKALI YAELEZA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI HAPA NCHINI - NAIBU WAZIRI JAPHET HASUNGA

soma pia


SERIKALI YAELEZA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI HAPA NCHINI - NAIBU WAZIRI JAPHET HASUNGA

Na Hamza Temba - Dodoma

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga ametoa wito kwa wananchi kutumia fursa kubwa iliyopo hapa nchini ya ufugaji nyuki na uwepo wa masoko ya ndani na nje ya nchi kwa kuongeza uzalishaji wa mazao yake na kuyaongezea thamani ili kuinua uchumi wao na taifa kwa ujumla.

Ametoa wito huo leo mbele ya wadau wa sekta ya ufugaji nyuki kutoka mikoa yote nchini katika mkutano aliouitisha kujadili maendeleo ya sekta hiyo ikiwemo marekebisho ya kanuni za ufugaji nyuki za mwaka 2017 katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.

Amesema kwa sasa mchango wa sekta ya nyuki katika pato la taifa bado ni mdogo ukilinganisha na fursa zilizopo za ufugaji nyuki hapa nchini ambazo zikitumiwa ipasavyo zitasaidia kuinua pato la wananchi na taifa kwa ujumla.

Amesema mbali na kuongeza uzalishaji, mazao hayo pia yanatakiwa kuongezewa thamani na kuwekewa ngazi za ubora ili yaweze kuhimili masoko ya ndani na nje ya nchi.

Ameongeza kuwa, ili kuimarisha sekta hiyo Serikali itashirikiana na wadau kutatua changamoto zilizopo ikiwemo kutafuta masoko, kuimarisha uwekezaji na kuanzisha viwanda vidogo vya kuchakata mazao ya nyuki ikiwemo asali na nta ambayo ina soko kubwa nje ya nchi.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (katikati) akizungumza na wadau wa sekta ya ufugaji nyuki nchini katika kikao alichokiitisha kujadili maendeleo ya sekta hiyo ikiwemo marekebisho ya kanuni za ufugaji nyuki za mwaka 2017 katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma leo. Kushoto ni MKuu wa Kitengo cha Masoko, Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, Mwanahamisi Mapolu na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki wa Wizara hiyo, Deosdedit Bwoyo
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kushoto) akizungumza na wadau wa sekta ya ufugaji nyuki nchini katika kikao alichokiitisha kujadili maendeleo ya sekta hiyo ikiwemo marekebisho ya kanuni za ufugaji nyuki za mwaka 2017 katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma leo.Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Deosdedit Bwoyo akiwasilisha hotuba yake kwa wadau hao.Mkurugenzi Msaidi wa Uendelezaji Nyuki wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Allen Richard akitambulisha meza kuu katika mkutano huo.


Hivyo makala SERIKALI YAELEZA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI HAPA NCHINI - NAIBU WAZIRI JAPHET HASUNGA

yaani makala yote SERIKALI YAELEZA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI HAPA NCHINI - NAIBU WAZIRI JAPHET HASUNGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAELEZA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI HAPA NCHINI - NAIBU WAZIRI JAPHET HASUNGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/serikali-yaeleza-fursa-ya-ufugaji-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YAELEZA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI HAPA NCHINI - NAIBU WAZIRI JAPHET HASUNGA"

Post a Comment

Loading...