Loading...
title : KAMPUNI YA VISA WASHIRIKIANA NA HALOTEL KULETA MALIPO YA QR KWA WATUMIAJI WA HALOPESA
link : KAMPUNI YA VISA WASHIRIKIANA NA HALOTEL KULETA MALIPO YA QR KWA WATUMIAJI WA HALOPESA
KAMPUNI YA VISA WASHIRIKIANA NA HALOTEL KULETA MALIPO YA QR KWA WATUMIAJI WA HALOPESA
*Wateja milioni 1 na wakala 40,000 kupata huduma ya malipo ya Visa kupitia Halopesa.
Kampuni ya Teknolojia ya malipo ya kimataifa ya VISA imetangaza ushirikiano wa mkakati na Halotel ili kuwezesha malipo ya Visa kwenye simu kwa kutuma codi ya QR kwa wateja wa Halotel nchini Tanzania.
Huduma hiyo itakayotolewa mwanzoni mwa mwaka 2019 na hivyo kuwezesha wateja zaidi ya milioni moja wa HaloPesa kutumia Visa kwenye simu ili waweze kufanya malipo ya biashara kwa salama na kuweka na kutoa fedha kwa mawakala wa Visa.Mteja yoyote wa HaloPesa, ikiwa ni pamoja na wale ambao hawana akaunti ya benki, wataweza kufaidika na huduma hii.
Lengo la huduma hii ni kuunganisha Watanzania zaidi kwenye mfumo wa malipo ya kimataifa, kuleta huduma ya malipo ya Visa ya usalama na urahisi kwa watumiaji na wafanyabiashara.
"Tunafurahia ushirikiano huu na mojawapo wa kampuni maarufu ya simu ya Halotel, Ushirikiano wetu na Halotel utahakikisha kuwa Watanzania wanaweza kufanaya malipo ya QR kwa kutumia Visa kwenye simu zao kwa wauzaji na wafanyabiashara zaidi ya 40,000. Pia itasaidia kuongeza ushirikishaji wa kifedha kwa watumiaji ambao sasa wataweza kufaidika na kushiriki katika mfumo wa eco Visa ", alisema Meneja Mkuu wa Visa wa Afrika Mashariki, Kevin Langley.
Hivyo makala KAMPUNI YA VISA WASHIRIKIANA NA HALOTEL KULETA MALIPO YA QR KWA WATUMIAJI WA HALOPESA
yaani makala yote KAMPUNI YA VISA WASHIRIKIANA NA HALOTEL KULETA MALIPO YA QR KWA WATUMIAJI WA HALOPESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA VISA WASHIRIKIANA NA HALOTEL KULETA MALIPO YA QR KWA WATUMIAJI WA HALOPESA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/kampuni-ya-visa-washirikiana-na-halotel.html
0 Response to "KAMPUNI YA VISA WASHIRIKIANA NA HALOTEL KULETA MALIPO YA QR KWA WATUMIAJI WA HALOPESA"
Post a Comment