Loading...
title : KAMPUNI YA VODACOM YAZINDUA MNARA WA SIMU MANYARA
link : KAMPUNI YA VODACOM YAZINDUA MNARA WA SIMU MANYARA
KAMPUNI YA VODACOM YAZINDUA MNARA WA SIMU MANYARA
Mkuu wa wilaya ya Longido, Bw Frank Mwaisumbe akikata utepe kuzindua mnara wa kwanza wa simu za mkononi katika wilayani Longido mkoani Manyara uliozinduliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania Mwishoni mwa wiki iliyopita, Kushoto ni Mkurugenzi wa Kanda ya Kazikazini wa kampuni ya Vodacom Tanzania Bi Brigita Stephen.
Mkuu wa Wilaya ya Longido, Mh Frank Mwaisumbe akizungumza na wachimbaji wa madini ya Ruby na wanakijiji wa Kata ya Mundarara Wilaya ya Longido juu urahisi wa mawasilioano haswa kwa wafanya biashara wa madini ya Ruby baada ya uzinduzi wa mnara wa kwanza wa simu kijijini hapo uliozinduliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mkuu wa Wilaya ya Longido, Bw Frank Mwaisumbe (kulia), Mkurugenzi wa Kanda ya Kazikazini wa kampuni ya Vodacom Tanzania Bi Brigita Stephen (kati) na Diwani wa Kata ya Mundarara, Bw Alais Mshao (kushoto) wakipewa maelezo na Mkandarasi wa kampuni ya Vodacom Tanzania Bw. Isaac Peter Olesingo juu manufaa ya kiuchumi yatakayo tokana na mnara huu wa kwanza wa simu kufikisha mawasiliano kijijini hapo ambapo shuhuli za uchimbaji wa madini ya Ruby zinafanyika.
Na Mwandishi wetu.
Kampuni ya Vodacom Tanzania imefanikiwa kuzindua mnara wa kwanza wa simu za mkononi katika wilayani Longido mkoani Manyara Mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mnara huu utasaidia mawasiliano na shughuli mbalimbali za kiuchuni kwani eneo hilo ni eneo mahususi kwa uchimbaji wa madini ya Ruby mkoani hapo.
Na Mwandishi wetu.
Kampuni ya Vodacom Tanzania imefanikiwa kuzindua mnara wa kwanza wa simu za mkononi katika wilayani Longido mkoani Manyara Mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mnara huu utasaidia mawasiliano na shughuli mbalimbali za kiuchuni kwani eneo hilo ni eneo mahususi kwa uchimbaji wa madini ya Ruby mkoani hapo.
Hivyo makala KAMPUNI YA VODACOM YAZINDUA MNARA WA SIMU MANYARA
yaani makala yote KAMPUNI YA VODACOM YAZINDUA MNARA WA SIMU MANYARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA VODACOM YAZINDUA MNARA WA SIMU MANYARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/kampuni-ya-vodacom-yazindua-mnara-wa.html
0 Response to "KAMPUNI YA VODACOM YAZINDUA MNARA WA SIMU MANYARA"
Post a Comment