Loading...

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA NAMIBIA NCHINI

Loading...
KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA NAMIBIA NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA NAMIBIA NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA NAMIBIA NCHINI
link : KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA NAMIBIA NCHINI

soma pia


KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA NAMIBIA NCHINI


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi akisalimiana na Balozi wa Namibia nchini, Mhe. Theresa Samaria alipofika Wizarani kwa ajili ya kumsalimia na  kuzungumzia kuhusu kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Namibia kwenye sekta mbalimbali ikiwemo biashara, kilimo, uvuvi na mifugo. Mazungumzo hayo yamefanyika tarehe 19 Novemba, 2018.
Mhe. Balozi Samaria akimweleza Dkt. Kasidi kuhusu fursa mbalimbali za biashara ambazo Tanzania inaweza kuzichangamkia kwenye nchi yake ambayo ina ukame uliokithiri kutokana na kuzungukwa na Majangwa ya Kalahari na Namib. Fursa hizo ni pamoja na biashara ya nyama, matunda, nafaka mbalimbali na korosho.
Katibu Mkuu, Dkt. Kasidi akisoma nyaraka aliyopatiwa na Balozi Samaria ambayo ni mkataba ulioanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Namibia miaka 20 iliyopita. 

Dkt. Kasidi akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Samaria mara baada ya kumaliza mazungumzo yao

Piacha ya pamoja kati ya Dkt. Kasidi na Balozi Samaria pamoja na  Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Ubalozi wa Namibia nchini walioshiriki mazungumzo kati ya viongozi hao 




Hivyo makala KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA NAMIBIA NCHINI

yaani makala yote KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA NAMIBIA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA NAMIBIA NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/katibu-mkuu-wa-mambo-ya-nje-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA BALOZI WA NAMIBIA NCHINI"

Post a Comment

Loading...