Loading...

KUMEKUCHA NAMTUMBO MARATHON, MAMIA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA

Loading...
KUMEKUCHA NAMTUMBO MARATHON, MAMIA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUMEKUCHA NAMTUMBO MARATHON, MAMIA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUMEKUCHA NAMTUMBO MARATHON, MAMIA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA
link : KUMEKUCHA NAMTUMBO MARATHON, MAMIA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA

soma pia


KUMEKUCHA NAMTUMBO MARATHON, MAMIA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA

Wanariadha kutoka maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi wamejitokeza kwa wingi kushiriki Namtumbo Marathon inayotarajiwa kutimua vumbi wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma ambapo maelfu ya wakazi wa wilaya hiyo na vitongoji vyake wamekuwa wakizitazamia mbio hizo kuanza wakati wowote ili nao wapate fursa mbalimbali za kushiriki katika mbio hizo.

Akizungumzia usajili unaoendelea katika hospitali ya wilaya ya Namtumbo, Dokta Chihoma amesema watu wengi wameitikia wito na wamejitokeza kwa wingi wao kujiandikisha tayari kwaajili ya kushriki mbio hizo ambazo zilianzishwa rasmi mwaka 2017 kwa malengo mengi lakini kubwa likiwa ni kuchangisha fedha kwaajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Namtumbo ambayo imefanikia kuanza kwa kiasi kikubwa. 

Aidha Chihoma ameongeza kuwa nafasi bado zipo wazi kwaajili washiriki watakaojitokeza kujiandika kwaajili ya bio hizo. 

Kwa upande wao wadhamini wa na waandaaji wa mbio hizo Mantra Tanzania au Uranium one wamesema kila kitu kipo sawasawa na kuwataka watanzania na wageni kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mbio hizo ambazo zinalenga kuleta maendeleo ya kiafya katika eneo la Namtumbo na vitongoji vyake. 

Mwakilishi wa Mantra Tanzania Bi. Khadija Pallangyo Kawawa amaesema maandalizi yanaendelea vizuri na kwamba watanzania watafurahia mbio za mwaka huu kutokana na jinsi zilivyopata hamasa kubwa katika maeneo mbalimbali “Nawaomba sana watanzania wajitokeze kwa wingi waje washiriki nasi katika kufanikisha awamu ya pili ya Namtumbo Marathon” 



Hivyo makala KUMEKUCHA NAMTUMBO MARATHON, MAMIA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA

yaani makala yote KUMEKUCHA NAMTUMBO MARATHON, MAMIA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUMEKUCHA NAMTUMBO MARATHON, MAMIA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/kumekucha-namtumbo-marathon-mamia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUMEKUCHA NAMTUMBO MARATHON, MAMIA WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA"

Post a Comment

Loading...