Loading...

Kumi kufanyiwa upasuaji wa mafindofindo Mtwara

Loading...
Kumi kufanyiwa upasuaji wa mafindofindo Mtwara - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kumi kufanyiwa upasuaji wa mafindofindo Mtwara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kumi kufanyiwa upasuaji wa mafindofindo Mtwara
link : Kumi kufanyiwa upasuaji wa mafindofindo Mtwara

soma pia


Kumi kufanyiwa upasuaji wa mafindofindo Mtwara


Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wataalam wa afya wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mtwara-Ligula- leo wanawafanyia upasuaji wagonjwa 10 wenye matatizo ya mafindofindo.

Matibabu hayo ya kibingwa hayafanyiki katika Hospitali ya Ligula kutokana na ukosefu wa wataalam waliobobea katika maeneo ya pua, koo na masikio.
Daktari Bingwa wa upasuaji pua, koo na masiko kutoka Muhimbili Willybroad Massawe amesema wanawafanyia upasuaji watu wazima pamoja na watoto na kwamba upasuaji huo umeanza kufanyika leo.

‘’Tumeanza kufanya upasuaji huu leo asubuhi na lengo letu ni kumaliza wagonjwa wote kumi leo hii’’ amesema Dkt. Massawe. Kwa mujibu wa mtaalam huyo ugonjwa wa mafindofindo unasababishwa na maambukizi ya mara kwa mara katika njia ya hewa na kwa wengine unatokana na mzio (allergies) zilizokithiri.

Hospitali ya Taifa Muhimbili imeanzisha programu ya kutoa huduma kwa njia ya mkoba ili kujenga uwezo wa Hospitali za Rufaa za Mikoa nchini hasa katika maeneo yenye wataalam lakini wanahitaji kuongezewa ujuzi zaidi katika fani mbalimbali ili kupunguza rufaa za wagonjwa kwenda kutibiwa Muhimbili. 

Daktari Bingwa wa upasuaji pua, koo na masikio Willybroad Massawe akimtoa mgonjwa matezi ya koo na matezi ya nyama ya pua (mafindofindo), upasuaji huo umefanyika leo katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mtwara-Ligula.
Mtaalam wa usingizi (nusu kaputi) Dkt. Amon Kingu (kushoto) pamoja na watalaam wengine wa Hospitali ya Ligula wakiwamuandaa mgonjwa kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji. 


Hivyo makala Kumi kufanyiwa upasuaji wa mafindofindo Mtwara

yaani makala yote Kumi kufanyiwa upasuaji wa mafindofindo Mtwara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kumi kufanyiwa upasuaji wa mafindofindo Mtwara mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/kumi-kufanyiwa-upasuaji-wa-mafindofindo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kumi kufanyiwa upasuaji wa mafindofindo Mtwara"

Post a Comment

Loading...