Loading...
title : MAANDALIZI YA UJENZI WA BARABARA YA NJIA SITA YA KUTOKA KIMARA HADI KIBAHA YAIVA
link : MAANDALIZI YA UJENZI WA BARABARA YA NJIA SITA YA KUTOKA KIMARA HADI KIBAHA YAIVA
MAANDALIZI YA UJENZI WA BARABARA YA NJIA SITA YA KUTOKA KIMARA HADI KIBAHA YAIVA
Muonekano wa barabara ya Morogoro eneo la Kimara mwisho Jijini Dar es salaam hivi leo ambapo tayari maandalizi ya ule mradi wa ujenzi wa barabara ya njia sita kutoka Ubungo hadi Kibaha Mkoani Pwani yenye urefu wa kilometa 16 umeiva. Ujenzi wa barabara hiyo unaotarajia kuanza mwishoni mwa mwezi Disemba mwaka huu utasaidia kukuza uchumi kwa kuongeza kasi ya usafirishaji wa bidhaa katika nchi jirani kupitia bandari ya Dar es Salaam. Pia inatarajiwa utasaidia kupambana na changamoto ya msongamano wa magari na kuziwezesha barabara zote za Jiji la Dar es Salaam kupitika katika majira yote ya mwaka. Picha na IKULU
Hivyo makala MAANDALIZI YA UJENZI WA BARABARA YA NJIA SITA YA KUTOKA KIMARA HADI KIBAHA YAIVA
yaani makala yote MAANDALIZI YA UJENZI WA BARABARA YA NJIA SITA YA KUTOKA KIMARA HADI KIBAHA YAIVA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAANDALIZI YA UJENZI WA BARABARA YA NJIA SITA YA KUTOKA KIMARA HADI KIBAHA YAIVA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/maandalizi-ya-ujenzi-wa-barabara-ya.html
0 Response to "MAANDALIZI YA UJENZI WA BARABARA YA NJIA SITA YA KUTOKA KIMARA HADI KIBAHA YAIVA"
Post a Comment