Loading...

MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOANI TABORA.

Loading...
MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOANI TABORA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOANI TABORA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOANI TABORA.
link : MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOANI TABORA.

soma pia


MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOANI TABORA.

PMO 2795 na PMO 2793  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama chupa yenye ujazo wa nusu lita yA mkojo wa sungura wakati alipotembelea banda la wanawake wajasiriamali wasindikaji wa Tabora katika maonyesho ya Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji katika Mkoa wa Tabora yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Novemba 21, 2018. 
Kwa mujibu wa Mratibu wa Wajasiriamali hao, Bibi Ashura Mwazembe, mkojo wa Sungura unatumiwa kama mbolea ya mazao ya kilimo na pia ni dawa nzuri sana ya kuua wadudu waharibifu wa mazao. Lita moja ya mkojo huo inauzwa sh. 10, 000/=. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO 2772  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Imani Matabula  (kulia)  kuhusu sabuni zinazotengenezwa na Kampuni yake ya Matabula Soap Investment ya Kaliua mkoani Tabora katika maonyesho   ya Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji Mkoani Tabora yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Novemba 21, 2018. Katikati ni Mkuu wa Mkoa huo, Aggrey Mwanri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO 2768   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama sabuni za Kampuni ya Matabula Soap Investment ya Kaliua mkoani Tabora, Imani Matabula  (kulia)  katika  maonyesho   ya Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji Mkoani Tabora yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Novemba 21, 2018. Katikati ni Mkuu wa Mkoa huo, Aggrey Mwanri. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Imani Matabula.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO 2714  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo  kutoka kwa Saidi Kanimba  kuhusu viatu vya ngozi vinavyotengenezwa   katika Halmashuri ya wilaya Uyui mkoani Tabora katika Maonyesho ya  Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji Mkoani Tabora yailyofanyika kwenye Viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Novemba 21, 2018. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO 2714 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakisalimina na Kaimu Mhariri Mtendaji wa  Magazeti ya Serikali (TSN),  Tuma Abdallah (kushoto) wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege  wa Tabora kushiriki katika  Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji Mkoani Tabora, Novemba 21, 2018.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOANI TABORA.

yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOANI TABORA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOANI TABORA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/majaliwa-atembelea-maonyesho-ya-jukwaa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA MAONYESHO YA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOANI TABORA."

Post a Comment

Loading...