Loading...
title : MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA HOSPITALI YA WILAYA YA GEITA YA NZERA
link : MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA HOSPITALI YA WILAYA YA GEITA YA NZERA
MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA HOSPITALI YA WILAYA YA GEITA YA NZERA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Geita ya Nzera, Novemba 27, 2018. Wapili kulia ni Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani na kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara . Watatu kulia ni Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Mbunge wa Geita Vijijini, Jioseph Msukuma wakati alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Wilaya ya Geita, Novemba 27, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nzera wilayani Geita, Novemba 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA HOSPITALI YA WILAYA YA GEITA YA NZERA
yaani makala yote MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA HOSPITALI YA WILAYA YA GEITA YA NZERA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA HOSPITALI YA WILAYA YA GEITA YA NZERA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/majaliwa-aweka-jiwe-la-msingi-la.html
0 Response to "MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA HOSPITALI YA WILAYA YA GEITA YA NZERA"
Post a Comment